Pre GE2025 Je, ni kwamba Rais hajui kuwa Dkt. Slaa anasota jela kwa makosa yanayo dhaminika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Slaa ndiye asiyempenda Samia, nina uhakika akisikia msaada umetoka kwa Samia atakataa kwa jinsi asivyompenda. Hapo anatamani hata afie huko Ili Samia alaumiwe........tatizo tu anaona hatokuwepo kushuhudia na kushadadia hilo na utamu wa energy ya Azam ndo cinamfanya asiombe hilo kutokea.
 
Eti unasemaje?
 
Kuna siku dula nae ataingia kolokoloni mama nae ata feel the same pain
 
Huyo Mzee ameongea maneno yakutisha,yan sisi tuliokuwa tunamsikiliza tuliingiwa na woga,ebu tafuta video yake au sauti.
 
Wengine tulisema mapema kuwa hayo maigizo ya demokrasia sijui maridhiano ni wakati wa honeymoon tu,yataisha,ngozi nyeusi tunajuana.

Tofauti na Kizza Besigye,Dr Slaa yupo mahakama ya kiraia.
 
Huyo Dk. Slaa na uzee wake hajui muda gani wa kufunga mdomo? Na hata akiufungua hajui aongee nini? Mwache asote, after all aliishasema haogopi kufa!
 
Huyo Mzee ameongea maneno yakutisha,yan sisi tuliokuwa tunamsikiliza tuliingiwa na woga,ebu tafuta video yake au sauti.
NIlitegemea wangempeleka mahakamani akathibitishe ili atiwe hatiani vizuri. Why Cycling?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…