Pre GE2025 Je, ni kwamba Rais hajui kuwa Dkt. Slaa anasota jela kwa makosa yanayo dhaminika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee wa watu kajichokea hadi huruma
 

Hivi bado kuna mtu ambaye mpaka sasa haamini kuwa Dr. Slaa yuko ndani "In the Name of the President."...!?
 
Huyu babu,asipopewa akili ya ziada,na kuepuka kunoa mdomo na serikali,next time ataozea jela!
 
Reactions: Tui
Mama ni mwenye kisasi na roho mbaya. Ona jinsi alivyo na roho ya kushindwa hata kuwasikiliza wamama wakijitokeza na shida za kudhulumiwa na watawala kwenye mikutano yake ya hadhara. Mara nyingi hata ameshindwa kulitaja jina la magufuli kwa chuki kwani yeye anapenda upigaji na wapigaji wa umma.
 
Rubbish
 
Ht angekuwa na miaka 90. We ndio unajua umri wake kuliko yeye. Au ulimtuma.
 
Reactions: Tui
Huyu mama wa Kizimkazi sio mtu mwenye huruma hata kidogo,chukulia kesi ya ugaidi ya Mbowe uje kwa ya marehemu Ally Kibao umalizie na ya Soka na wenzake uweze kumfahamu
 
Raisi anahusikaje na mahakama si mwanasheria yule ajitoe!
Samia Anahusika kwasababu muhumili wa mahakama hauko huru kwani unapata amri toka Ikulu!!
Juzi tu Jaji mkuu ameongezewa mkataba wake!!
 
Tatizo la Dr. Slaa ni usaliti. Amesaliti Kanisa. Akasaliti ndoa. Akasaisaliti CHADEMA. Akawasaliti wana mageuzi. Akaisaliti ccm.
Kuwa na miaka 76 si hoja.
Mwacheni kwanza apate fundisho!

Sometimes some people learn the hardest way!
 
hakuna haja ya kubabaika na kuingilia mambo ya mtu anaeteswa na laana 🐒
 
Huyu mama wa Kizimkazi sio mtu mwenye huruma hata kidogo,chukulia kesi ya ugaidi ya Mbowe uje kwa ya marehemu Ally Kibao umalizie na ya Soka na wenzake uweze kumfahamu
Hilo liko juu yake... Kuna watu wa usalama na wanazi wa ccm wana nguvu zaidi ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…