Pre GE2025 Je, ni kwamba Rais hajui kuwa Dkt. Slaa anasota jela kwa makosa yanayo dhaminika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa MBOWE alihusikaje na kesi ilikuwa ikirindima mahakamani?
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
Timing, situation, circumstances na hata influence ni tofauti. Acha kufananisha vitu visivyoelekeana.
That old man since he became Jiwe's stooge sitomuamini tena na sielewi ex-chawa wa Mwendakuzimu anauhusiano gani na harakati, ni opportunist aliyekubuhu hivyo apambane na hali yake.
 
Mzee wacha akae ale na pasaka huko naona alidhani anawatu huwezi kwenda kwenye mitandao ukashutumu idara ya usalama na Raisi hadharani kwa rushwa bila kuwa na uthibitisho, eti nimeambiwa na mwana usalama mmoja halafu uachwe salama. Mzee mnafiki ni huyu huyu alimchongea Mbowe kwa JPM akatiwa ndani na siku alihojiwa akasema mahakama iachwe kufanya maamuzi. Sasa unafiki umefika mwisho wako wapi wafuasi wake wa kwenye mitandao? serikali ikitaka inakujia tu....akitoka hakumbuki hata nyumba yake ipo wapi.....
 
Issue kubwa ni kwamba kosa wanalomtuhumu lina dhamana pia bado wanaomtuhumu hawajakamilsha ushahidi sasa kwanini bado anaendelea kukaa rumande?

Umeelewa hapo kipara cha zamani?
Yote tunayajuwa hayo atakaa mpaka maji aite mmaaa, mzee mnafiki sana sura yake tu unajuwa mwanga na mdini.
 
YEYE SILAA SI ANAJIFANYA CHA MDOMO,
NGOJA ASOTE ILI AKITOKA AUFYATE
 
Buiibuji vipi,sijalijua hili tangu lini Rais amekuwa mwendesha mashitaka na hakimu?
 
Reactions: Tui
Adhabu waliompa inatosha wamsamehe anatia huruma kwa umri wake.
 
Ujinga wenu ni kupoteza muda kwa wapinzani kama silaa ambao wako kazini chini ya ccm,huyo ni mamluki wa vcm anapokea mshahara na posho zake kama kawaida kutoka serikalini.

Fanyeni yenu achaneni watu kama silaa,ni mru gani wa ccm aliyewekwa ndani bure bila malipo??
 
Kama nakumbuka vizuri, huyo mama alimtaja kwa jina mzee Slaa, kuwa intelejensia yao imebaini anataka kufanya vurugu. Kuna vitu akivifanya au kuvisema rais, ujue vinatoa maagizo fulani kwa wahusika washiriki wake. Kuwepo ndani kwa huyu mzee, ni agizo la moja kwa moja la rais, hata kama hakuna maneno ya moja kwa moja.
 
Babu wa miaka 76 atafanya vurugu GANI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…