Je, ni kwanini haiwezekani kuyachoma moto maji?

Je, ni kwanini haiwezekani kuyachoma moto maji?

Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.

Whats the mechanism behind this fire resistance?
Tuanzie kwenye hili, KUUNGUA NI NINI? Kugeuka kuwa majivu?
Usikute maji nayo huwa yanaungua sema hayageuki kuwa majivu, bali yanakuwa mvuke..!!
 
Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.

Whats the mechanism behind this fire resistance?
Kweli kabisa
Tuanzie kwenye hili, KUUNGUA NI NINI? Kugeuka kuwa majivu?
Usikute maji nayo huwa yanaungua sema hayageuki kuwa majivu, bali yanakuwa mvuke..!!
Kweli kabisa
 
Kwa sayansi sawa ila kwa Mungu inawezekana.

Pale Nabii Elia alipokuwa anashindana na mabaali aliomba moto ukashuka toka Mbinguni ukateketeza kila kitu mpaka maji yaliyokuwepo kwenye ile sadaka.
Haayo hayakuungua, labda yalikuwa ‘vapourised’, na yakipoa yatarudi kuwa maji.., au labda yalikuwa ‘exploded’ na kuvunjika kuwa gesi ya ‘Hydrogen’ na ‘Oxygen’, ila hayakuunguzwa
 
Okay, tujibu swali hili kwanza, kuungua ni nini? Nasubiri jibu
NIMEGUGOOOOOOOOO..!!

Burning: Burning is a chemical change in which a substance combines with oxygen to release heat and light. Burning leads to carbon dioxide and water vapor. For example, the burning of substances like wood, coal, and paper.
 
Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.

Whats the mechanism behind this fire resistance?
Kwasababu mpaka maji yanakamilika kutengenezwa na kuwa maji yanakua yalishaungua,Ivo hayawezi kuungua tena😆..

Ni Kama kwenye mahusiano ukishaumizwa lazma utakua makini ili usiumizwe tena au uwe mzembe ukubali kuumia😆😆
 
Haayo hayakuungua, labda yalikuwa ‘vapourised’, na yakipoa yatarudi kuwa maji.., au labda yalikuwa ‘exploded’ na kuvunjika kuwa gesi ya ‘Hydrogen’ na ‘Oxygen’, ila hayakuunguzwa
.. Au kuungua ni kitendo cha kushindwa kwa kitu kurudia hali ya mwanzo..!!??? Kwamba kama uwezo wa kurudia hali ya mwanzo upo, basi hakikuungua..!!??
 
NIMEGUGOOOOOOOOO..!!

Burning: Burning is a chemical change in which a substance combines with oxygen to release heat and light. Burning leads to carbon dioxide and water vapor. For example, the burning of substances like wood, coal, and paper.
Kuungua ni ‘Combustion’, labda tumia neno hilo.., burning ni a very specific form of ‘Combustion’
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Cc: Mahondaw
Nimefurahi kuona ile tabia ya watu kukejeli vitu wasivyovielewa imeondoka humu JF. Zamani ilikuwa nikiuliza maswali kama haya walikuwa wasema nimekunywa balimi, mara sijui nini..😁

Kuna siku nikiomba ‘Software ya kuprint pilau’, wakaniambia nirudi milembe 😂
 
Maji (H2O) yana uwezo wa kupitisha joto vizuri, hivyo yanapofikia kiwango cha juu cha joto, badala ya kuwaka moto, yanageuka kuwa mvuke. Kwa kuongeza, maji hayana vitu vya kuwaka moto ndani yake kama vile kaboni, ambayo ni lazima ili kitu kiweze kuwaka moto.
 
Back
Top Bottom