Je, ni kwanini haiwezekani kuyachoma moto maji?

Well, tumejaribu kutafsiri neno kuungua liwe ‘combustion’ badala ya ‘burning’ ili tuweze kuwa na wigo mpana zaidi uliotuwezesha kujadili kuhusu kuungua kwa maji.

Na hapo ndio tunaweza kujadili kitu kama ‘liquid hydrogen’ ambayo ni ya baridi sana kuweza kuungua na kutengeneza maji (majivu)

Mkuu, Sijajua unamaanisha nini ila ukizungumzia “combustion” unamaanisha triangle ya hizo elements 3 nilizoeleza (heat, oxygen na fuel).

Hata hiyo “liquid hydrogen” inakuwa combusted kama kawaida ilimradi tu iwe heated to required degrees. Nadhani unafahamu one of the common combustion ya hydrogen na oxygen kuform maji.

Combustion inahitaji relatively lower temperature (65C) kutoa moto kuliko ile temperature (100C) inayobadili maji kuwa vapour, kwa hiyo kwa concept ya combustion maji hayawezi kuungua kama unavyouliza.

Labda kama unataka kumaanisha kuwa maji yaungue hadi yatoe flame which is visible by normal sight na kisha yasionekane mabaki yake, otherwise combustion ya some fluids na gaseous elements inatoa gas as flame kwa hiyo huwezi ona kwa macho ya kawaida.

However, complete combustion is almost impossible to achieve, since the chemical equilibrium is not necessarily reached, or may contain unburnt products such as carbon monoxide, hydrogen and even carbon (soot or ash).
 
Kwa uelewa wangu mdogo katika mchakato wa combustion, ambao unaweza kuhusisha vifaa visivyo vya carbon based, kinachohitajika ni mafuta na oxidizing agent. Maji, ndani yake hayana mafuta yoyote ndani yake
Tafsiri sahihi ya ‘fuel’ sio mafuta, badala yake ni ‘Nishati’
 
Mkuu, Sijajua unamaanisha nini ila ukizungumzia “combustion” unamaanisha triangle ya hizo elements 3 nilizoeleza (heat, oxygen na fuel).

Hata hiyo “liquid hydrogen” inakuwa combusted kama kawaida ilimradi tu iwe heated to required degrees. Nadhani unafahamu one of the common combustion ya hydrogen na oxygen kuform maji.

Combustion inahitaji relatively lower temperature (65C) kutoa moto kuliko ile temperature (100C) inayobadili maji kuwa vapour, kwa hiyo kwa concept ya combustion maji hayawezi kuungua kama unavyouliza.

Labda kama unataka kumaanisha kuwa maji yaungue hadi yatoe flame which is visible by normal sight na kisha yasionekane mabaki yake, otherwise combustion ya some fluids na gaseous elements inatoa gas as flame kwa hiyo huwezi ona kwa macho ya kawaida.

However, complete combustion is almost impossible to achieve, since the chemical equilibrium is not necessarily reached, or may contain unburnt products such as carbon monoxide, hydrogen and even carbon (soot or ash).
Kwa maelezo yako ya mwanzo, maji hayawezi kuungua sababu yanashusha joto. Je, tukiyapa maji joto la kutosha, na oxygen ya kutosha, na yenyewe yawe ndio fuel ya kuungua, yataungua?

Na je, maji yakiwa ya moto (99 degrees celcius) ila katika mfumo wa kimiminika, ukimwagia kwenye moto, hautazima sababu maji ni ya moto?

Na je, unafahamu kwamba kwenye ‘Burning’ lazima ‘Oxygen’ iwepo, ila katika ‘Combustion’ sio lazima pawepo ‘Oygen’, bali inaweza kutokea hata kwa ‘gas’ nyingine mfano ‘Chlorine gas’ (Cl2)?
IMG_0300.jpeg
 
Kwa sayansi sawa ila kwa Mungu inawezekana.

Pale Nabii Elia alipokuwa anashindana na mabaali aliomba moto ukashuka toka Mbinguni ukateketeza kila kitu mpaka maji yaliyokuwepo kwenye ile sadaka.
Chai
 
Back
Top Bottom