Je, ni kwanini haiwezekani kuyachoma moto maji?

Je, ni kwanini haiwezekani kuyachoma moto maji?

maji hayaungui sababu maji ni product ya combustion,
sawa maji yana exist naturally ila yalivopatikana kuna energy kubwa sana ilikuwa released ndo hydrogen ku bond na oxygen.

same amount of energy itahitajika kuvunja hiyo bond na ukisha vunja hiyo bond utakiwa hauunguzi maji tena utakuwa unaunguza hydrogen, energy kubwa sana itahitajika kutawanya hizo atoms na ndo maana hydrogen iliyomo kwenye maji haiwi extracted sababu utatumia energy kubwa kuzalisha energy kidogo.

Combustion usually means a rapid oxidation process. The hydrogen atoms in a water molecules are already bound to all the oxygen they can accommodate, so no new oxygen can join the party.
 
Wataalamu wanadai kukiwa na hewa na joto la kutosha yanawaka kama petroli tu.
 
BAck to the same question, KUUNGUA NI NINI?
Burning, ili kuungua kutokee lazima iwepo oxygen, maji yana oxygen hydrogen, hydrogen nayo ni kilipuzi hatari, labda ili moto uwake unaitaji solid state kama base, Nijuavyo baadhi ya mioto kama ya petrol haizimwi na maji!, watu wa sayansi dadavueni.........
 
Back
Top Bottom