Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutuletea habari za kipumbavu hapa. Habari za kufikirikaKwa sayansi sawa ila kwa Mungu inawezekana.
Pale Nabii Elia alipokuwa anashindana na mabaali aliomba moto ukashuka toka Mbinguni ukateketeza kila kitu mpaka maji yaliyokuwepo kwenye ile sadaka.
Mavi yako kima wewe. Kwani lazima wewe uapprove jambo ninaloamini mimi??Acha kutuletea habari za kipumbavu hapa. Habari za kufikirika
Ya mama yako mzazi.Chai
Hapo hayajaungua, yanakuwa ‘Vapourised’ kuwa mvuke, ila yakipoa yanarudi tena kuwa majiMaji hua yanaungua kwa mfano umechemsha mafuta haya ya kupikia kwa mda mrefu then ukitia maji pale kuna mlipuko utatokea ndo kuungua kwake huko🤯
Tamu balaaYa mama yako mzazi.
Jibu zuri mkuuMaji yametengenezwa kwa molecules za Hydrogen na oxygen. Vitu vyote vinavyoweza kuungua vimetengenezwa kwa carbon ie hydrocarbons zote
Ushindwe na ulegee.., siwezi kukuiga wiziBaada ya kwenda kwa sangoma kakuchanjia Dawa kwenye maji na kukuaminisha kuwa kama maji yasivyoungua na ww hautaungua, bro nakuhakikishia acha wizi ndugu, Tutakupiga kiberiti na utawaka kama box tu, IN CAPITAL LETTER BRO UTACHOMWA UTAUNGUA STOP CRIME, Hapa Jf sio sehem ya kukuamisha kuwa maji hayaungui. Hili swali lako limekaa kimkakati sana
Combustion hutokea hata kwa visivyo na carbon. Mfano ukiunguza (oxidize) gesi ya Hydrogen unapata majiMaji yametengenezwa kwa molecules za Hydrogen na oxygen. Vitu vyote vinavyoweza kuungua vimetengenezwa kwa carbon ie hydrocarbons zote zinaungua
Chemistry ya form oneMaji yana 2 elements,
Hydrogen na Oxygen,Hydrogen ni flammable ila Oxygen sio flammable,
Maji yenyewe ni extinguishing agent that absorb heat and incombustible,which means it cannot burn.
Labda kama maswali yako siyo ya kisayansi, ila kisayansi maji yakiwa vapour ndio yameungua tayari. Kwa hiyo unavoyapa joto ndio unayaunguza hivo.Kwa maelezo yako ya mwanzo, maji hayawezi kuungua sababu yanashusha joto. Je, tukiyapa maji joto la kutosha, na oxygen ya kutosha, na yenyewe yawe ndio fuel ya kuungua, yataungua?
Yes, moto hautazima kwa sababu maji kama extinguishing agent yanatumika kupunguza temperature. Ndio maana sio class zote za moto zinazimwa kwa maji, class zingine za moto hata hayo ya baridi tu hayazimi chochote.Na je, maji yakiwa ya moto (99 degrees celcius) ila katika mfumo wa kimiminika, ukimwagia kwenye moto, hautazima sababu maji ni ya moto?
Nafahamu kuwa chlorine na fluorine zinaweza kuhisika kwenye burning in case huhitaji mabaki yoyote.Na je, unafahamu kwamba kwenye ‘Burning’ lazima ‘Oxygen’ iwepo, ila katika ‘Combustion’ sio lazima pawepo ‘Oygen’, bali inaweza kutokea hata kwa ‘gas’ nyingine mfano ‘Chlorine gas’ (Cl2)?
View attachment 3047934
Labda kama maswali yako siyo ya kisayansi, ila kisayansi maji yakiwa vapour ndio yameungua tayari. Kwa hiyo unavoyapa joto ndio unayaunguza hivo.
Yes, moto hautazima kwa sababu maji kama extinguishing agent yanatumika kupunguza temperature. Ndio maana sio class zote za moto zinazimwa kwa maji, class zingine za moto hata hayo ya baridi tu hayazimi chochote.
Nafahamu kuwa chlorine na fluorine zinaweza kuhisika kwenye burning in case huhitaji mabaki yoyote.
Ila kwa case ya maji unawezaje kuignore oxygen kwenye combustion process wakati maji yana element ya oxygen tayari.
Yanaisha kwa njia ya mvuke?Hayakauki ila yanageuka Mvuke
yanakaushwa lakini hayaunguiYanaisha kwa njia ya mvuke?
Mbona yakibaki kidogo huwa yanakaushwa