FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tuanzie kwenye hili, KUUNGUA NI NINI? Kugeuka kuwa majivu?Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.
Whats the mechanism behind this fire resistance?
Kweli kabisaHata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.
Whats the mechanism behind this fire resistance?
Kweli kabisaTuanzie kwenye hili, KUUNGUA NI NINI? Kugeuka kuwa majivu?
Usikute maji nayo huwa yanaungua sema hayageuki kuwa majivu, bali yanakuwa mvuke..!!
Mvuke bado ni maji pia, ndio maana yakipoa yanarudi kuwa maji, kwahiyo utakuwa umepasha moto maji, bali hujayaunguza..Tuanzie kwenye hili, KUUNGUA NI NINI? Kugeuka kuwa majivu?
Usikute maji nayo huwa yanaungua sema hayageuki kuwa majivu, bali yanakuwa mvuke..!!
BAck to the same question, KUUNGUA NI NINI?Mvuke bado ni maji pia, ndio maana yakipoa yanarudi kuwa maji, kwahiyo utakuwa umepasha moto maji, bali hujayaunguza..
Haayo hayakuungua, labda yalikuwa ‘vapourised’, na yakipoa yatarudi kuwa maji.., au labda yalikuwa ‘exploded’ na kuvunjika kuwa gesi ya ‘Hydrogen’ na ‘Oxygen’, ila hayakuunguzwaKwa sayansi sawa ila kwa Mungu inawezekana.
Pale Nabii Elia alipokuwa anashindana na mabaali aliomba moto ukashuka toka Mbinguni ukateketeza kila kitu mpaka maji yaliyokuwepo kwenye ile sadaka.
Okay, tujibu swali hili kwanza, kuungua ni nini? Nasubiri jibuBAck to the same question, KUUNGUA NI NINI?
NIMEGUGOOOOOOOOO..!!Okay, tujibu swali hili kwanza, kuungua ni nini? Nasubiri jibu
Kwasababu mpaka maji yanakamilika kutengenezwa na kuwa maji yanakua yalishaungua,Ivo hayawezi kuungua tena😆..Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.
Whats the mechanism behind this fire resistance?
.. Au kuungua ni kitendo cha kushindwa kwa kitu kurudia hali ya mwanzo..!!??? Kwamba kama uwezo wa kurudia hali ya mwanzo upo, basi hakikuungua..!!??Haayo hayakuungua, labda yalikuwa ‘vapourised’, na yakipoa yatarudi kuwa maji.., au labda yalikuwa ‘exploded’ na kuvunjika kuwa gesi ya ‘Hydrogen’ na ‘Oxygen’, ila hayakuunguzwa
Anza na molecular structure ya maji ni nini, then itskupa jibi whyHata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.
Whats the mechanism behind this fire resistance?
Kuungua ni ‘Combustion’, labda tumia neno hilo.., burning ni a very specific form of ‘Combustion’NIMEGUGOOOOOOOOO..!!
Burning: Burning is a chemical change in which a substance combines with oxygen to release heat and light. Burning leads to carbon dioxide and water vapor. For example, the burning of substances like wood, coal, and paper.
Maji contains an atom of oxygen na atoms mbili za hydrogen. It is a completely oxidized substance and thus cannot be oxidized further.
Nimefurahi kuona ile tabia ya watu kukejeli vitu wasivyovielewa imeondoka humu JF. Zamani ilikuwa nikiuliza maswali kama haya walikuwa wasema nimekunywa balimi, mara sijui nini..😁