Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ok, kwenye combustion, ili itokee, lazima kuwe na vitu vitatu, Heat, Fuel na Oxygen. Kama vyote vitatu vipo bila kujali product/by-products za combustion, then tunasema kitu hicho kimeungua. Sasa kwenye kuunguza maji, hivyo vitatu vipo?Kuungua ni ‘Combustion’, labda tumia neno hilo.., burning ni a very specific form of ‘Combustion’
Hapo umechukulia kuungua kama ‘burning’, badala yake expand maana ya hilo neno kuungua ili liweze kuencompass ‘Combustion’ za aina zote, hata za material ambazo sio ‘Carbon based’Maji (H2O) yana uwezo wa kupitisha joto vizuri, hivyo yanapofikia kiwango cha juu cha joto, badala ya kuwaka moto, yanageuka kuwa mvuke. Kwa kuongeza, maji hayana vitu vya kuwaka moto ndani yake kama vile kaboni, ambayo ni lazima ili kitu kiweze kuwaka moto.
Maji ni ''majivu'' ya kuungua kwa Hydrogen na Oxygen, hivyo hayawezi kuungua tena.Okay, tujibu swali hili kwanza, kuungua ni nini? Nasubiri jibu
Aiseee..!! I love JF. Kwamba kaka yangu FRANCIS DA DON anaulizia kama majivu (maji) yanaungua..!!Maji ni ''majivu'' ya kuungua kwa Hydrogen na Oxygen, hivyo hayawezi kuungua tena.
Mbona petroli imelowa na inawaka? 😂Hayo maji yako yatakuwa yamelowa ndo maana hayawaki.. Maji yakikauka yanawaka fresh tuu mbona..
Naomba nikupe zawadi ya ashikilimu ya moto..!!!Hayo maji yako yatakuwa yamelowa ndo maana hayawaki.. Maji yakikauka yanawaka fresh tuu mbona..
Naona jibu murua and logical lipo hapa.., kwamba hatuwezi kuunguza majivu. Sasa leo hii ukimwambia mtu kwamba anaoga Majivu atakutukana. Au leo hii ukamwambia mtu kwamba sio kila majivu ni machafu atakuita mgonjwa wa akili. Anyway..,ndio maisha haya, kuishi na wajinga ni kipaji na kinahitaji uvumilivu wa hali ya juu..Aiseee..!! I love JF. Kwamba kaka yangu FRANCIS DA DON anaulizia kama majivu (maji) yanaungua..!!
Kulowa ni ku-contain nini? Maana si ni kwamba mpaka useme imelowa maji, imelowa maziwa, imelowa asali, imelowa jasho etc..!!??Mbona petroli imelowa na inawaka? 😂
😀😀😀 Kwamba ukipata kiu unakunywa majivu ya baridi yanakata kiu. Nguo zikichafuka unafua kwa majivu ya mvua maana hayo ni majivu soft povu la sabuni linakuwa jingi..!!!Naona jibu murua and logical lipo hapa.., kwammba hatuwezi kuunguza majivu. Sasa leo hii ukimwambia kwamba anaoga Majivu atakutukana. Au leo hii ukamwambia mtu kwamba sio kila majivu ni machafu atakuita mgonjwa wa akili. Anyway..,ndio maisa haya, kuishi na wajinga ni kipaji na kinahitaji uvumilivu wa hali ya juu..
Hi ni slogan tu ya kuhamasisha unywaji maji. Ingeweza semwa kuwa majivu ni uhai..!Maji ni uhai Ndio maana yanabaki hivyo hvy
Maji (H2O ) Yana hydrogen mbili na oxygen, hydrogen ni flammable (inaungua) lakini oxygen sio kwaio katika process ya kutengeneza maji lazma izo hydrogen zi ungue na kuoxidize na oxygen ndo maji yatokee ,kwaio maji ni end product ambayo ilishaungua wakati inatengenezwa.Hapo umechukulia kuungua kama ‘burning’, badala yake expand maana ya hilo neno kuungua ili liweze kuencompass ‘Combustion’ za aina zote, hata za material ambazo sio ‘Carbon based’
Ikifika kwny suala la imani hata mtu mzima anakuwa kama mtotoKwa sayansi sawa ila kwa Mungu inawezekana.
Pale Nabii Elia alipokuwa anashindana na mabaali aliomba moto ukashuka toka Mbinguni ukateketeza kila kitu mpaka maji yaliyokuwepo kwenye ile sadaka.
Point yako inashabihiana na post #25Maji (H2O ) Yana hydrogen mbili na oxygen, hydrogen ni flammable (inaungua) lakini oxygen sio kwaio katika process ya kutengeneza maji lazma izo hydrogen zi ungue na kuoxidize na oxygen ndo maji yatokee ,kwaio maji ni end product ambayo ilishaungua wakati inatengenezwa.
Kuteketea ndo kuungua?Kwa sayansi sawa ila kwa Mungu inawezekana.
Pale Nabii Elia alipokuwa anashindana na mabaali aliomba moto ukashuka toka Mbinguni ukateketeza kila kitu mpaka maji yaliyokuwepo kwenye ile sadaka.
Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.
Whats the mechanism behind this fire resistance?
Well, tumejaribu kutafsiri neno kuungua liwe ‘combustion’ badala ya ‘burning’ ili tuweze kuwa na wigo mpana zaidi uliotuwezesha kujadili kuhusu kuungua kwa maji.Kwa wale waliosoma fire and rescue services, moto una tafsiri yake kisayansi. Watu wengi wanaujua moto na infact wanautumia katika maisha ya kila siku lakini ukimuuliza mtu moto ni nini atapata ugumu kujibu.
Ni katika tafsiri ya moto ndipo jibu la swali lako lilipo.
Kisayansi moto ni hali inayotokea vinapokutana vitu vitatu i.e
1. Oxygen(kati ya asilimia 16 na 18)
2. Heat (zaidi ya degree za centigrade 65), na 3. Fuel (chakula cha moto) si kwa maana ya mafuta pekee, inaweza kuwa karatasi, mbao, kitambaa nk nk.
Ikitokea moja kati ya hivyo vitatu hakipo au kikapungua upatikanaji wake, moto hautawaka.
Kwa hiyo dhana ya “zimamoto” huwa ni kudhibiti moja kati ya hivyo vitatu au vyote ili moto usiendelee kuwaka.
Ukitazama hizo components za moto utagundua kuwa maji huwa yanaathiri joto (kulipunguza) hivyo basi, joto likiathiriwa na maji na kuwa kuwa chini ya 65 degrees (C) moto hautakuwa moto tena.
Hiyo ndiyo sababu kuu moto hauwezi kuyaunguza maji, na ndiyo maana maji yanatumika kuzima baadhi ya aina za moto japo si zote.
Maji ni uhai Ndio maana yanabaki hivyo hvy
Yeah.Maji ni uhai Ndio maana yanabaki hivyo hvy
Kwa uelewa wangu mdogo katika mchakato wa combustion, ambao unaweza kuhusisha vifaa visivyo vya carbon based, kinachohitajika ni mafuta na oxidizing agent. Maji, ndani yake hayana mafuta yoyote ndani yakeHapo umechukulia kuungua kama ‘burning’, badala yake expand maana ya hilo neno kuungua ili liweze kuencompass ‘Combustion’ za aina zote, hata za material ambazo sio ‘Carbon based’