Kwahiyo Biblia imeandika uongo??Haayo hayakuungua, labda yalikuwa ‘vapourised’, na yakipoa yatarudi kuwa maji.., au labda yalikuwa ‘exploded’ na kuvunjika kuwa gesi ya ‘Hydrogen’ na ‘Oxygen’, ila hayakuunguzwa
Nenda googleHata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.
Whats the mechanism behind this fire resistance?
Well, tumejaribu kutafsiri neno kuungua liwe ‘combustion’ badala ya ‘burning’ ili tuweze kuwa na wigo mpana zaidi uliotuwezesha kujadili kuhusu kuungua kwa maji.
Na hapo ndio tunaweza kujadili kitu kama ‘liquid hydrogen’ ambayo ni ya baridi sana kuweza kuungua na kutengeneza maji (majivu)
We jamaa😁Tuanzie kwenye hili, KUUNGUA NI NINI? Kugeuka kuwa majivu?
Usikute maji nayo huwa yanaungua sema hayageuki kuwa majivu, bali yanakuwa mvuke..!!
Vipi tena?We jamaa😁
Hayakauki ila yanageuka MvukeHivi yakichemka na kukaukia sio kuungua?
Sikutegemea kuona jibu la hvoVipi tena?
Ndugu yangu, humu kuna majibu ya kila aina. Inategemea tu swali limekaaje..!!Sikutegemea kuona jibu la hvo
Tafsiri sahihi ya ‘fuel’ sio mafuta, badala yake ni ‘Nishati’Kwa uelewa wangu mdogo katika mchakato wa combustion, ambao unaweza kuhusisha vifaa visivyo vya carbon based, kinachohitajika ni mafuta na oxidizing agent. Maji, ndani yake hayana mafuta yoyote ndani yake
Kwa maelezo yako ya mwanzo, maji hayawezi kuungua sababu yanashusha joto. Je, tukiyapa maji joto la kutosha, na oxygen ya kutosha, na yenyewe yawe ndio fuel ya kuungua, yataungua?Mkuu, Sijajua unamaanisha nini ila ukizungumzia “combustion” unamaanisha triangle ya hizo elements 3 nilizoeleza (heat, oxygen na fuel).
Hata hiyo “liquid hydrogen” inakuwa combusted kama kawaida ilimradi tu iwe heated to required degrees. Nadhani unafahamu one of the common combustion ya hydrogen na oxygen kuform maji.
Combustion inahitaji relatively lower temperature (65C) kutoa moto kuliko ile temperature (100C) inayobadili maji kuwa vapour, kwa hiyo kwa concept ya combustion maji hayawezi kuungua kama unavyouliza.
Labda kama unataka kumaanisha kuwa maji yaungue hadi yatoe flame which is visible by normal sight na kisha yasionekane mabaki yake, otherwise combustion ya some fluids na gaseous elements inatoa gas as flame kwa hiyo huwezi ona kwa macho ya kawaida.
However, complete combustion is almost impossible to achieve, since the chemical equilibrium is not necessarily reached, or may contain unburnt products such as carbon monoxide, hydrogen and even carbon (soot or ash).
Kwahiyo sisi huwa tunakunywa majivu ya hydrogen na oxygen huku pua zetu zikivuta oxygen?Maji ni ''majivu'' ya kuungua kwa Hydrogen na Oxygen, hivyo hayawezi kuungua tena.
Okay uko sawaTafsiri sahihi ya ‘fuel’ sio mafuta, badala yake ni ‘Nishati’
SahihiKwahiyo sisi huwa tunakunywa majivu ya hydrogen na oxygen huku pua zetu zikivuta oxygen?
ChaiKwa sayansi sawa ila kwa Mungu inawezekana.
Pale Nabii Elia alipokuwa anashindana na mabaali aliomba moto ukashuka toka Mbinguni ukateketeza kila kitu mpaka maji yaliyokuwepo kwenye ile sadaka.
Mmmmh jibu la kisanii hiliMaji contains an atom of oxygen na atoms mbili za hydrogen. It is a completely oxidized substance and thus cannot be oxidized further.
Mmmmh jibu la kisanii hili
Acha uvivu Ongeza moto maji yanachomeka.Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo.
Whats the mechanism behind this fire resistance?
Sawa chemist ila iyo chai haina majani 😂😂😂😂