Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,129
Wengine hawapendi kazi ya air hostess! kuwa angani tu muda mwingi nacho sio kitu cha kawaida yahitaji moyo mkuu
hii ajiri ya wahudumu wandege ingekuwa tu ni ya mkataba 2yrs renewable na kuna cut off age ie 18-25. Tuna wanafunzi wachuo wengi wanamaliza degree aged 22 na ni warembo kwa nini wasipewa course miezi 6 afu waende uko uko wasisubir ajira za kudumu .