Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Wengine hawapendi kazi ya air hostess! kuwa angani tu muda mwingi nacho sio kitu cha kawaida yahitaji moyo mkuu
hii ajiri ya wahudumu wandege ingekuwa tu ni ya mkataba 2yrs renewable na kuna cut off age ie 18-25. Tuna wanafunzi wachuo wengi wanamaliza degree aged 22 na ni warembo kwa nini wasipewa course miezi 6 afu waende uko uko wasisubir ajira za kudumu .
 
Mimi huwa natubu kabla sijapanda ndege, pia huwa naweka earphones mwanzo had mwisho wa safar inasaidia kunipunguzia tension.
Me nafata usafiri wenye huduma nzuri sinaga muda na hao wadada.
Kwanza nikiwa kwenye ndege namuwazaga Mungu tu.
 
Air hostesses are more than just a pretty face. After all it is not an easy job, welcoming the passengers with a smile always. They not only help them find their seat, fasten their seat belts and making important announcements during the flight, they need to take care of their passengers all through the flight.

Hao waliopo wanatosha kabisa, kwa mfano kwani hawa hapa wana maajabu gani?

hostess.jpg
 
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba lao aisee.., daah..
View attachment 1257965
View attachment 1257989
Kumbe kazi hii haitaji taaluma nikutupia tu watu
 
dah' kama ndo hivyo basi shindano la miss Tz ndo lingetumika kuwapata hao ma air nini cjui
ile nayo ni taaluma, watu wanawekeza (muda, akili + pesa)
 
Nilipofika "kuajiri vifutu"😂😂😂😂aisee. But anyways tuwe wakweli hizi kazi pia muon kano ni kigezo +hulka ,tabia. ila muonekano una matter.Tuwe wakweli baadhi ya kazi kwa wanawake zinademand muonekano in some ways. Ila mair hostes wa Ethiopia na Emirates sio wa mchezo wale wadada mmmh!
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124]
haha Magufuli anawaita Air Hostages [emoji28][emoji28][emoji28] dah mzee anayumba sana kwenye lugha
 
Kwa mtu kama Hamisa hiyo ni pesa ya lipstick tu, sio ishu kwake
Nyie watu mnaoishi nanjilinji na mmezaliwa miaka ya elfu2 sijui mkoje? Eti laki5 ni hela ya lipstick? Kwa mchongo UPI anaofanya Huyo hamisa mobetto? Huyo hamisa aliajiriwa na Sam misago part time akawa analipwa laki5 kwa mwezi,kama haitoshi alikuwa analilia alipwe elfu75 na daimond kwa siku kwaajili ya matumizi ya mtoto,shubahaamit
 
Back
Top Bottom