Je, ni kwanini Ugonjwa wa Kansa, Figo, Ini unaonekana kuwa ni tatizo Tanzania ?

Jukumu la serikali
 
Umeni attack, hujafocus kwenye point dogo
 
Mkuu wazee wa zamani walikuwa wanafanya kazi ambazo zilikuwa zinatumia nguvu nyingi kama vile kulima kwahiyo miili yao ilitumia glucose nyingi ila vijana wa sasa wengi kazi zao hazitumii nguvu nyingi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia.
 
Ni kweli kuwa asilimia 98 ya watanzania hawana/ hawajui elimu ya lishe.

Pamoja na ukweli huo, ni muhimu kujiuliza, "uchunguzi wa kisayansi kuhusiana na magonjwa hayo (Kisukari, Shinikizo la juu/chini la damu, moyo, Kansa,Figo na Ini) unaonyesha nini?

Nini husababisha magonjwa hayo?
 
You said it all cheif.
 
Life style ndo chanzo kikuu cha magonjwa hayo.
 

Hiki kitabu kimeeleza kwa kina jinsi wanga,sukari pamoja mafuta ya mbegu za mime(mafuta ya kula) jinsi yanavyo sababisha maradhi tunayosumbuka nayo sasa.
 
Life style ndo chanzo kikuu cha magonjwa hayo.okay

Life style ndo chanzo kikuu cha magonjwa hayo.
Kwanini wengi mna komalia life style ? Yes ni among the other factors ; but life style sio cause relationships.

Kama tukiwa na life style nzuri….. but masokoni kumejaa toxic foods ….. would life style be beneficial?

Cut off point ni UDHIBITI. Ukisolve hilo utasolve lots

Kuna watu wapo prone kwa hayo magonjwa… yaani miili yao inasubiri tu declencher , so hata kama una life style nzuri but unakunywa one glass of wine fake …. Just glass moja tu ….. tayar imekula kwako

Unakula matikiti hayanq hata mbegu….. unaingiza declencher mwilini , over time … accumulation inatokea you are Fired on earth .

So point ipo kwenye UDHIBITI… majority wataokoka na kuwa salaama
 
Mkuu kwani mtu analazimishwa kula hizo junk foods?
Halafu sijawahi ona tikiti halina mbegu labda kama ununue yaliyokuwa processed viwandani. Na pia kwenye issue za wine kama hujaona nembo ya tbs kwenye vinywaji achana navyo.
Kwahiyo mkuu kula junk foods, processed fruits na vinywaji ambavyo havijathibitishwa na tbs zote hizi ni lifestyle ya mtu kwani hakuna anayelazimishwa kunywa pombe au kula junk foods.
 
Mnaishi kama machokoraa au mbwa waliokosa mfugaji
KWENDA CANADA HAKUJAKUSAIDIA😄😄😄

YOU CANT RUN FROM YOUR FATE,WEWE NI MTU MWEUSI NA UTABAKI MTU MWEUSI KITABIA NA KIFIKRA.

📌📌USOMI WAKO HUO WA KIOPPORTUNISTIC HAUNA FAIDA YOYOTE UKITOA HIO WHO AMBAYO TRUMP ANAENDA KUISAMBARATISHA.KISHA UTARUDI HUKU MAVUMBINI KUJIKOMBAKOMBA NA KUNYEMELEA TEUZI.


📌NYIE WASOMI UCHWARA,WAOGA WA MAISHA HAMNA KITU NA ELIMU ZENU ZA KUUNGAUNGA.
 
vipi wadau mnazungumziaje wanaotumia ARV?? wengi wanakufa kwa figo kansa na ini kuliko hata kufa kwa ukimwi wenyewe....hilo vip ?? au ARV zinazokuja afrika ni feki???
 
Jukumu la serikali
Jukumu la afya yako mwenyewe unaipa serikali.Msomi kama wewe unatoa hoja mufilisi kama hii😄😄😄u cant be serious!!!

📌📌📌Mmezoeshwa vibaya hii collective responsibility inawalemaza, jamii ya kiafrika inatakiwa ianze kuwafikiri na kutenda in individuality.

🤔🤔🤔HIVI HIO PhD CANDIDATE UNAMAANISHA AU NI MWEMBWE TU ZA JF.
 
 
HivI ni unga we sembe tuu au kila unga uliokobolewa?
Kwa jinsi nlivyo elewa ni kila unga uliokobolewa

Ngano
Sembe
 
Unga wa kukobolewa Haujafanya uchunguzi vizuri.
Kati ya dona na Sembe Basi Dona ndo mbaya ... Ndo maana mikoa inayoongoza kwa Kansa ni Mikoa kanda ya ziwa
Kwa kanda ya ziwa kuna uwezekano chanzo cha cancer kuwa kubwa ikawa sio dona, ila ni sumu zilizopo ziwa victoria, na watu wanapata cancer kupitia samaki
 
Nakusalimia doctor mushi, niingie moja kwa moja kwenye mada...ntatolea mfano mbunge msukuma kwenye interview yake moja aliwai nukuliwa akisema AMEWAI KUBADILISHA MIFUKO KWENYE UNGA WA NGANO ULIO EXPIRE NA AKAUUZA TENAA..

Nenda kwenye madawa ya binadamu watu wanafuta expire date na kuzibadilisha hii ipo Sanaa...pia nenda kwenye mafuta ya kula, nenda kwenye vipodozi, vinywaji ni balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…