Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni mimi wako: UWESU TANZANIA š§
Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)?
Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika mfano (P.tau, p. Zouzoua, G.diara, K. Aziz, C. Chama nk,. Lakini ni vigumu sana kuwaona wanasajiliwa kwenye vilabu vya EPL.
Kuna mda timu kama Chelsea unaona kabisa kuwa wanauhitaji na mtu kama G.diara au K.aziz au F.mayere lakini inakuwa ngumu kuja kuwachukua je, wanaichukulia poa Caf champion ligue au ni hawana maskauti wenye umahiri?
Kuna wakati vilabu kama A. Ahly, M. Sundowns, Y. African, Simba, Pd. Ruanda huwaibua vijana wenye skills na taranta ya hali ya juu lakini bado boda inakuwa ngumu.
Hata ukitaka kumtaja M.samatta bado utakuwa ndani ya maono yangu maana hakutoka Tp mazembe moja kwa moja na kwenda Astonvilla alienda kwanza Rc genk afu wao wamemchukua kutoka genk. Nasio huyo tu kalibia wote.
JE, KUNA UKUTA GANI? UGUMU UPO WAPI?

Epl haichukui hata kutoka Asia Football Champions league. Standard ya epl la Liga na bundesliga ni kubwa sana hao wachezaji hawawezi kabisa kutoboa pale kwa vipaji vyao vya kuanguka na kupoteza muda.
Dakika 90 za mechi ya EPL ni sawa na dakika 270 za CAFCL huyo kibabage sijui Aziz K akicheza EPL ile GPS itamcount kama mzururaji tu uwanjani. Samatra kuna siku alitapika maji kabisamaana kilometer alizokimbia mle ywanjani ni sawa na ktoka ubungo mpaka chalinze kwenda na kurudi.. Breakfast mtihaniwa kwanza ni kumaliza mkatemmoja na kuku mzima unashushia ndizi saba na maji ya kunywa lita tatu, nani anaweza.