secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Huyu anakimbia kama mbuni, akienda kule atawekwa kwenye zoo awavutie wataliiNa huyu je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anakimbia kama mbuni, akienda kule atawekwa kwenye zoo awavutie wataliiNa huyu je
Acha utani. Tena kama man U. Ilivyo na shida na mawinga vile!Huyu anakimbia kama mbuni, akienda kule atawekwa kwenye zoo awavutie watalii
Na huyu je
🤣🤣🤣😁kwa Man U nakubali. Man U hate Mimi na wewe tunaeweza kuichezea yaani kiufupi Wana jamiiforums wengi wanaweza kuwa wachezaji wa man UAcha utani. Tena kama man U. Ilivyo na shida na mawinga vile!
Fact!Peter Ndlovu
Manucho
Phil Masinga
Radhi Jaidi
Wewe unaichukulia ahly poa kumbe kwa taarifa tu hiyo club inafikaga hadi nusu fainali kombe la vilabu la dunia.Unadhani mashindano ya CAFCL yanaweza hata kufikia quality ya Europa Conference league?
Vipi unaweza kumchukua Al Ahly akapata ushindi dhidi ya Atalanta ( bingwa wa Europa league)?
Waafrika wengi wanaocheza EPL na hata ulaya kwa ujumla hupitia nchi kama France, Belgium, Austria kabla ya kusajiliwa England.
League ngumu Ile!
Kwa level ya Africa wachezaji wa CAFCL na CAFCC wanaweza kucheza league za Belgium, Austria na madaraja ya chini ya France.
Mpira wa ulaya unahitaji mambo mengi Sana. Wenzetu wanaamini kwenye umri, saikolojia ya mchezaji, historia ya mchezaji/taiga, malengo ya mchezaji nk.Ni mimi wako :UWESUTANZANIA 🧠
Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (caf champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)?
Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika mfano (P.tau, p. Zouzoua, G.diara, K.aziz, C.chama nk,. Lakini ni vigumu sana kuwaona wanasajiliwa kwenye vilabu vya EPL,.
Kuna mda timu kama Chelsea unaona kabisa kuwa wanauhitaji na mtu kama G.diara au K.aziz au F.mayere lakini inakuwa ngumu kuja kuwachukua je ,
Wanaichukulia poa Caf champion ligue au ni hawana maskauti wenye umahiri?
Kuna wakati vilabu kama A.ahly, M.sundowns, Y.African, Simba, Pd.ruanda huwaibua vijana wenye skills na taranta ya hali ya juu lakini bado BODA inakuwa ngumu.
Hata ukitaka kumtaja M.samatta bado utakuwa ndani ya maono yangu maana hakutoka Tp mazembe moja kwa moja na kwenda Astonvilla alienda kwanza Rc genk afu wao wamemchukua kutoka genk. Nasio huyo tu kalibia wote.
JE KUNA UKUTA GANI?, UGUMU UPO WAPI?
Ngoja ncheke kwanza. Maana sio kwa mazalau haya🤣🤣🤣😁kwa Man U nakubali. Man U hate Mimi na wewe tunaeweza kuichezea yaani kiufupi Wana jamiiforums wengi wanaweza kuwa wachezaji wa man U
Unataka kusema nini kiongozi?Kwa mentality hizi ndio maana Mbwana Samatta anaonekana sio chochote mbele za fowadi za Simba na Yanga. Sasa nimeelewa.
Sema wewe kaka.Wewe unaichukulia ahly poa kumbe kwa taarifa tu hiyo club inafikaga hadi nusu fainali kombe la vilabu la dunia.
Kwani P.zouzoua kakukosea nini?Nilitaka kuishia kusoma ulipomtaja P. Zouzoua kwenye hiyo list, nikaendelea ila nilipofika kwenye taranta tu nikaishia hapohapo.....
Ila sii uliona jinsi game lilivyobadilika second half sevilla wakafanya yao.Simba aliwai kucheza na sevilla wakaenyeka kweli kweli. Golmahia waliwai kucheza na Everton wakaenyeka. ile timu ya ujerumani imecheza na yanga kule south kama wangeongeza dakika mambo yangekuwa mengine. Hv skills za azizi pacome, Max, Diarra, au backa sikuna wachezaji Manchester au Monaco wangetakiwa kula bench.
Noted,. Nimepata cha kwenda kupigia kelele kijiweni leoLigi za kati kama Uturuki Sweden Norway Poland etc Mayele, Feisal, Baka, Mudathiri wanacheza vizuri tu..
Tena hawahitaji Majaribio.
Kuna mambo mawili hapo;
Kuwa na uwezo wa kucheza ni jambo moja, Kuweza Kuaminiwa na kocha ni jambo jingine nalo ndio gumu zaidi (refer history ya okocha)
Enock Inonga ndiye mchezaji pekee kutoka ligi za Afrika aliyefanikiwa kuaminiwa na kocha mkuu wa timu ya taifa ya DRC...akiwaweka benchi mabeki wenye profile ya juu wenzie kutoka ulaya.
Ukiwatoa kolo Toure na Amri Zaki Sina kumbukumbu kama kuna mchezaji mwingine aliyewahi kutoka CAF CL kwenda EPL moja kwa moja na kupata namba.
Toure alitoka Asec akasajiriwa Arsenal moja kwa moja na kupata namba.
Amri Zaki yeye alisajiriwa Wigan kutoka Zamaleki na kuaminiwa kuanza kwny first 11.
Ni nadra sana kuondoka Afrika ukiwa na over 23...na ukawa star ulaya..
Andre Onana kaondoka Cameron akiwa na 16...Victor osimhem, Drogba na Etoo wametoka kwny nchi zao wakiwa watoto sana.
Kuna jamaa anachezea E.tunis anaweza kabisaDakika 90 za mechi ya EPL ni sawa na dakika 270 za CAFCL huyo kibabage sijui Aziz K akicheza EPL ile GPS itamcount kama mzururaji tu uwanjani
Samatra kuna siku alitapika maji kabisamaana kilometer alizokimbia mle ywanjani ni sawa na ktoka ubungo mpaka chalinze kwenda na kurudi.
Breakfast mtihaniwa kwanza ni kumaliza mkatemmoja na kuku mzima unashushia ndizi saba na maji ya kunywa lita tatu,nani anaweza
Kama Mpanzu tu huko Genk ya ubelgiji Mpaka alifanyiwa majaribio,itakuwaje Epl,,Sisi huku tunamuona bonge la talentKuna jamaa anachezea E.tunis anaweza kabisa