Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

Unadhani mashindano ya CAFCL yanaweza hata kufikia quality ya Europa Conference league?

Vipi unaweza kumchukua Al Ahly akapata ushindi dhidi ya Atalanta ( bingwa wa Europa league)?

Waafrika wengi wanaocheza EPL na hata ulaya kwa ujumla hupitia nchi kama France, Belgium, Austria kabla ya kusajiliwa England.

League ngumu Ile!

Kwa level ya Africa wachezaji wa CAFCL na CAFCC wanaweza kucheza league za Belgium, Austria na madaraja ya chini ya France.
Wanaweza kucheza vizuri tu.

Sema watu mnakariri kucheza Uingereza ndio mafanikio.
 
Unadhani mashindano ya CAFCL yanaweza hata kufikia quality ya Europa Conference league?

Vipi unaweza kumchukua Al Ahly akapata ushindi dhidi ya Atalanta ( bingwa wa Europa league)?

Waafrika wengi wanaocheza EPL na hata ulaya kwa ujumla hupitia nchi kama France, Belgium, Austria kabla ya kusajiliwa England.

League ngumu Ile!

Kwa level ya Africa wachezaji wa CAFCL na CAFCC wanaweza kucheza league za Belgium, Austria na madaraja ya chini ya France.
VIpaji vipo mkuu kuna jamaa anaitwa aboutrika alikua anacheza al ahly, timu kubwa za ulaya zilimtaka akachomoa. Kuna kipindi mzee wenga alimtaka Sunzu wakati huo yupo tp mazembe wakashindwana bei. Sema ndio kama ulivyosema ni adimu sana kwa sababu ya utofauti mkubwa wa viwango vya ushindani uliopo kwenye ligi husika.
 
Sema wewe kaka.
Na bado wachezaji wake hawawachukui
Wapo wa hezaji ambao wanapata ofa kutoka uingereza sema pale al ahly wanalipwa kulingana na scale za malipo wanayoyapata timu ndogo ndogo mfano lesta, nottingham forest kwaiyo kumtoa mchezaji pale labda ije timu kubwa mfano man u, chelsea, liverpool n.k ambayo itaweza kumpa malipo makubwa
 
Back
Top Bottom