Ni mimi wako :UWESUTANZANIA 🧠
Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (caf champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)?
Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika mfano (P.tau, p. Zouzoua, G.diara, K.aziz, C.chama nk,. Lakini ni vigumu sana kuwaona wanasajiliwa kwenye vilabu vya EPL,.
Kuna mda timu kama Chelsea unaona kabisa kuwa wanauhitaji na mtu kama G.diara au K.aziz au F.mayere lakini inakuwa ngumu kuja kuwachukua je ,
Wanaichukulia poa Caf champion ligue au ni hawana maskauti wenye umahiri?
Kuna wakati vilabu kama A.ahly, M.sundowns, Y.African, Simba, Pd.ruanda huwaibua vijana wenye skills na taranta ya hali ya juu lakini bado BODA inakuwa ngumu.
Hata ukitaka kumtaja M.samatta bado utakuwa ndani ya maono yangu maana hakutoka Tp mazembe moja kwa moja na kwenda Astonvilla alienda kwanza Rc genk afu wao wamemchukua kutoka genk. Nasio huyo tu kalibia wote.
JE KUNA UKUTA GANI?, UGUMU UPO WAPI?