Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Unajua kwamba Al ahly mwaka jana alipata medali ya mshindi wa Tatu kwenye Fifa club world cup kwa kuifunga Al ittihad yenye wakina Benzema, kante, na wengineo wachezaji waliotokea Ulaya,...Al ahly ata ligi daraja la kwanza hawezi kucheza acha habari zako wewe uingereza mpira wao ni hatari ndio uwapeleke hao waarabu Mchele mchele
Na pia al ahly ameingia nusu fainali mara kadhaa kwa kuzifunga timu za Ligi ya Brazil ambalo ni moja ya Ligi bora duniani,
Pia Tp mazembe waliingia fainali ya Fifa club world cup mwaka 2010 ila wakafungwa na inter milan, usiichukulie poa Ligi ya africa.
Mwakani yataanza mwashindano ya Fifa club world cup yatakayoshirikisha Timu 32 na africa tumepeleka timu nne tu ila Europe wataingiza timu 16,
Utajionea mwenyewe pale ambapo Timu ya africa itafika Robo fainali hapo ndo utakapoamini kwamba Ligi yetu ni bora ila inadharaulika tu kimakusudi kwasababu ya umaskini wa bara letu.