Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

Al ahly ata ligi daraja la kwanza hawezi kucheza acha habari zako wewe uingereza mpira wao ni hatari ndio uwapeleke hao waarabu Mchele mchele
Unajua kwamba Al ahly mwaka jana alipata medali ya mshindi wa Tatu kwenye Fifa club world cup kwa kuifunga Al ittihad yenye wakina Benzema, kante, na wengineo wachezaji waliotokea Ulaya,...

Na pia al ahly ameingia nusu fainali mara kadhaa kwa kuzifunga timu za Ligi ya Brazil ambalo ni moja ya Ligi bora duniani,

Pia Tp mazembe waliingia fainali ya Fifa club world cup mwaka 2010 ila wakafungwa na inter milan, usiichukulie poa Ligi ya africa.

Mwakani yataanza mwashindano ya Fifa club world cup yatakayoshirikisha Timu 32 na africa tumepeleka timu nne tu ila Europe wataingiza timu 16,

Utajionea mwenyewe pale ambapo Timu ya africa itafika Robo fainali hapo ndo utakapoamini kwamba Ligi yetu ni bora ila inadharaulika tu kimakusudi kwasababu ya umaskini wa bara letu.
 
Sasa Kwa akili Yako timamu Al attihad ni timu ya ushindani hata ligi daraja la kwanza ya england halafu umekaa kabisa eti Brazil ndio ligi namba Moja duniani swali mbona hao Brazil hawachukui kombe la klabu Bora duniani
 
Simba aliwai kucheza na sevilla wakaenyeka kweli kweli. Golmahia waliwai kucheza na Everton wakaenyeka. ile timu ya ujerumani imecheza na yanga kule south kama wangeongeza dakika mambo yangekuwa mengine. Hv skills za azizi pacome, Max, Diarra, au backa sikuna wachezaji Manchester au Monaco wangetakiwa kula bench.
Oyaaa umekunywa dagaa au
 
Nionyeshe hiyo sehemu niliyosema Brazil ni ligi namba moja Duniani.
Jibu swali Al ahly kaitoa lini timu yoyote ya ulaya nikikuambia Al ahly haiwezi kucheza hata ligi daraja la kwanza la england namaanisha wewe unaanza kuniorodheshea matimu ya kibrazil mara ya kiarabu ambayo ni levo Moja na hao Al ahly Kwa ubovu
 
Back
Top Bottom