Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

Wanaweza kucheza vizuri tu.

Sema watu mnakariri kucheza Uingereza ndio mafanikio.
 
VIpaji vipo mkuu kuna jamaa anaitwa aboutrika alikua anacheza al ahly, timu kubwa za ulaya zilimtaka akachomoa. Kuna kipindi mzee wenga alimtaka Sunzu wakati huo yupo tp mazembe wakashindwana bei. Sema ndio kama ulivyosema ni adimu sana kwa sababu ya utofauti mkubwa wa viwango vya ushindani uliopo kwenye ligi husika.
 
Sema wewe kaka.
Na bado wachezaji wake hawawachukui
Wapo wa hezaji ambao wanapata ofa kutoka uingereza sema pale al ahly wanalipwa kulingana na scale za malipo wanayoyapata timu ndogo ndogo mfano lesta, nottingham forest kwaiyo kumtoa mchezaji pale labda ije timu kubwa mfano man u, chelsea, liverpool n.k ambayo itaweza kumpa malipo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…