Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

Okey
 
🤣🤣🤣 oyaa nimechek vibaya mnoo
 
EPL sio ligi ya mchezo ,,, kucheza Epl sio lelemama uliza kina Wanyama wakuambie ,, kwanza huwezi kutoka Tanzania ukaingia Epl moja kwa moja Wana masharti Yao lazima utoke nchi 70 Bora duniani au ucheze huko
 
🤣🤣🤣 oyaa nimechek vibaya mnoo
Sahihi mkuu EPL ni habari ya moto, champions league ya Africa Ina team chache sana zenye world standard.

Al Ahly, mamelodi sundowns ( at it's peak) Esperance De Tunis ndiyo team pekee zinazoweza kufikiriwa kushindana na vilabu vilivyo championship England na siyo EPL material teams!
 
Wewe unaichukulia ahly poa kumbe kwa taarifa tu hiyo club inafikaga hadi nusu fainali kombe la vilabu la dunia.
Nusu fainali anafika anazitoa timu za america na asia hajawai kutoa hata timu Moja ya ulaya kama unabisha taja timu hata Moja tu aliyoitoa ya ulaya huyo Al ahly
 
Uzi unanukia harufu ya yanga yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…