Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ila Majini kuwa ni ndugu zenu mnakubali.Madini ni viumbe ,kuna wema na waovu kama ilivyokuwa binadamu .
Kinachokatazwa katika uislamu.
*Kuabudu majini .
*Kuwatumikia
*Kuwatumia katika uovu na kushirikiana nao.
*Nk
Habari ya Majini kuwa na nguvu kupita Binadamu uli ipata wapi ?Kuwa na urafiki na majini kwa namna yeyote ni hatari na haishauriwi mtu kuwa na urafiki nao .
Kwanza binadamu hawezi kumuona katika umbo lake halisi ,cha pili humjui yupi mwema na yupi muovu hivyo ni rahisi kuingia katika njia mbaya .
Na mtu uwe na ukaribu na majini ili iweje ? ukimuona mtu anashirikiana na majini asilimia kubwa kabisa ni katika uovu.
Usitusemee Wakristo, hatuna ushabiki wa kuwasifu Majini.Allah ameviumba viumbe vingi sana katika huu ulimwengu..kuna tunavovijuwa na tusivovijuwa..! Kwann Allah kavitaja Kwenye qur an binaadamu na majini? Nikwasababu ndivo viumbe vyenye akili ingawa binaadamu ndiye mtawala na ndo mwenye akili zaidi...Upande wa wenzetu wao huamni majini wote ni wabaya na ndo mana hawaamini kma kuna majini wazuri...ngja niwasanue Kuna majini wazuri na kuna majini wabaya haihitaji elimu wala kusoma sana ipo ivo yani na mifano mingi ipo kwenye jamii yetu na historia mbali mbali ambazo hazijabase kwenye udini wowote.....Kwaiyo ndugu yangu kila mtu anaweza kumili jini awe mkristo au awe muislamu...Na kuhusu undugu ni kwamba yule ambae umeshare nae kila kitu uyo ndo ndugu huwez kusema una undugu na mbuzi this is impossible...Binaadam vs binaadamu na majini vs majini. NB:Jini ( shetani,Ibilisi,maluwani weka na wachawi vyote ivo vipo ndan ya jini)
Sasa mbona mnakataa kuwa ni marafiki zenu?
Mtume wenu kasema muitane Kaka, wewe una kauli gani ya tofauti.
Wewe ni nani kwanza wa kumpinga Mtume wa Allah
"Kujenga nao urafiki" huwa wenzetu mnakutana nao wapi mnakojenga nao urafiki?
Wewe unataka tukutane nao wapi?Sasa mbona mnakataa kuwa ni marafiki zenu?
Mtume wenu kasema muitane Kaka, wewe una kauli gani ya tofauti.
Wewe ni nani kwanza wa kumpinga Mtume wa Allah
"Kujenga nao urafiki" huwa wenzetu mnakutana nao wapi mnakojenga nao urafiki?
BIBLIAWe umesikia wapi?
Majini ni jina walilopewa na wanadamu, malaika waliasi pamoja na shetani na kufukuzwa mbinguni. Jini ni malaika aliyewahi kuasi na kufukuzwa mbinguni.Kwahiyo majini wameumbwa na nani mkuu? Maana muumba ni mmoja tu au ndio miungu watatu?
Majina anayo mwamposawanafuga majini kweli,,kasome "suratul jinn" ALLAH anawaambia waislam,hakika ninyi nyote mtaenda motoni kwani mnawaweka majini kati yangu na ninyi,,na majini yanalalamika kwa kusema kwamba,,,,tunashirikiana na wanadamu ktik kutafuta risk!!!
Aya gani sura gani?wanafuga majini kweli,,kasome "suratul jinn" ALLAH anawaambia waislam,hakika ninyi nyote mtaenda motoni kwani mnawaweka majini kati yangu na ninyi,,na majini yanalalamika kwa kusema kwamba,,,,tunashirikiana na wanadamu ktik kutafuta risk!!!
Hapa tatizo ni ufahamu hakuna anae tetea majini isipokuwaWapi Nabii Sulemani aliishi na Majini?
Weka Aya
Majini yamelaaniwa na kufukuzwa mbinguni yakitaka kuchungulia Mbinguni yanapigwa na vimondo.
Yenyewe yanakili mwanzoni yalikuwa yanaishi huko.
وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا
(AL - JINN - 8)
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ ۖ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّصَدًا
(AL - JINN - 9)
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
Hapa nani ni mkweli, ni nyinyi mnaoyatetea Majini au Majini yenyewe?
Alie muumba ndie alie kuumba weweHivi shetani kaumbwa na nani?
Haya majina sio ya kiswahili wala kibantu wala kingereza wala kiratini haya majini lanatokana na lugha ya kiarabu hivyo basi uwezi kuyatolea ufafanuzi bila kufahamu lugha hiyo ndio maana watu wengi wakisikia jina jinni awaamini kama ni kiumbeMungu hakuwahi kuumba majini, bali Maiaika ambao baada ya kuwa wameasi ndiyo wakaitwa majini
Majinni ni viumbe kama ulivyo weweKwahiyo majini wameumbwa na nani mkuu? Maana muumba ni mmoja tu au ndio miungu watatu?
Ubile la viumbe majinni likoje?unaweza kutuwekea pichaNini maana ya ndugu?
Ndugu ni mtu mwenye uhusiano na wewe kwa damu (wazazi wenu ni wamoja au mmechangia mzazi mmoja) au ni watu wa familia au ukoo mmoja. Kuna undugu wa imani ambao udugu huu unawafungamamnisha watu wa familia au kabila tofauti kwa imani zao. Jini hawezi kuwa na udugu na mwanadamu hata wakiwa na imani moja, kwani maumbile yao hayafanani, ni sawa kusema kuwa na udugu na nyoka au simba.
Bora kujipendekeza kwake sababu ndie anae tupa pumzi sio mzungu!!Inasemekana Mungu ni mweza ya yote! Atamuumba binadamu ili amwabudu! Inakaa vizuri kweli? Tuwe makini! Kumuabudu huenda tunajipendekeza kwake!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Huyu ni wale wanaona wakikubali kuwa majini ni viumbe vilivyo umbwa kwa sababu ya kumuabudu allah kama walivyo watu anaisi aibu ndio maana kazushaMbona muongo ?weka andiko linalosema majini yamelaaniwa .
Mbona hakuna ushahidi kuwa majini yalikuwa yanaishi huko uongo wako unakusaidia nini ?
Kwanza hata shetani jinni ujui maana ya haya majina,haya majini yamo kwenye biblia baada ya kutolewa kwenye qur,aan na kuingizwa kwenye biblia wakati watafsiri lani maana yake ujui wapo wakirito wengine upinga kuwa majini sio viumbe ufahamu mdogo tuKwetu Majini hayana nafasi.
Ni vitumishi vya Shetani Lusifar.
Kama wenzetu mmevikaribisha kwenye Dini hii ni juu yenu.
Lete kwanza maana ya majina haya jini binadamuHakuna majini mazuri. Yote ni mabaya
Someni kwa umakini Sura ya Majini Aya ya 8 na ya 9.Huyu ni wale wanaona wakikubali kuwa majini ni viumbe vilivyo umbwa kwa sababu ya kumuabudu allah kama walivyo watu anaisi aibu ndio maana kazusha