Je, ni kweli Allah amewaumba binadamu na majini ili wamuabudu?

Je, ni kweli Allah amewaumba binadamu na majini ili wamuabudu?

Madini ni viumbe ,kuna wema na waovu kama ilivyokuwa binadamu .

Kinachokatazwa katika uislamu.

*Kuabudu majini .
*Kuwatumikia
*Kuwatumia katika uovu na kushirikiana nao.
*Nk
Ila Majini kuwa ni ndugu zenu mnakubali.
Mnakubali kuwa ni Kaka wa Majini.
Huwa mnakutanaga wapi na kuongea lugha za kijini na kuelewanna?
 
Kuwa na urafiki na majini kwa namna yeyote ni hatari na haishauriwi mtu kuwa na urafiki nao .

Kwanza binadamu hawezi kumuona katika umbo lake halisi ,cha pili humjui yupi mwema na yupi muovu hivyo ni rahisi kuingia katika njia mbaya .

Na mtu uwe na ukaribu na majini ili iweje ? ukimuona mtu anashirikiana na majini asilimia kubwa kabisa ni katika uovu.
Habari ya Majini kuwa na nguvu kupita Binadamu uli ipata wapi ?
Sisi Wakristo tuna nguvu kupita Majini.
 
Allah ameviumba viumbe vingi sana katika huu ulimwengu..kuna tunavovijuwa na tusivovijuwa..! Kwann Allah kavitaja Kwenye qur an binaadamu na majini? Nikwasababu ndivo viumbe vyenye akili ingawa binaadamu ndiye mtawala na ndo mwenye akili zaidi...Upande wa wenzetu wao huamni majini wote ni wabaya na ndo mana hawaamini kma kuna majini wazuri...ngja niwasanue Kuna majini wazuri na kuna majini wabaya haihitaji elimu wala kusoma sana ipo ivo yani na mifano mingi ipo kwenye jamii yetu na historia mbali mbali ambazo hazijabase kwenye udini wowote.....Kwaiyo ndugu yangu kila mtu anaweza kumili jini awe mkristo au awe muislamu...Na kuhusu undugu ni kwamba yule ambae umeshare nae kila kitu uyo ndo ndugu huwez kusema una undugu na mbuzi this is impossible...Binaadam vs binaadamu na majini vs majini. NB:Jini ( shetani,Ibilisi,maluwani weka na wachawi vyote ivo vipo ndan ya jini)
Usitusemee Wakristo, hatuna ushabiki wa kuwasifu Majini.
Kama wenzetu mnawasifu kwa wema wao Basi ni juu yenu.

Kwetu Majini wote ni washirika wa Ibirisi Lusifer. Na wanatumika katika Wachawi katika shughuri za kishetani za Ulozi, kuagua, kutabiri, kuiba, kuuwa nk.

Mambo ambayo yanakatazwa na Mungu.

Mnao sema Kuna majini mazuri mtuambie hayo Majini yanafanya mambo gani Mazuri?

Pia unaposema Kuna Majini mema sema
{"Kutokana na Dini ya Kiislamu kuna Majini mema maislamu."}

Usiuingize Ukristo kabisa huko.

Mambo ya Walawi (Lev) 17:7
Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale Majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.
 
Sasa mbona mnakataa kuwa ni marafiki zenu?
Mtume wenu kasema muitane Kaka, wewe una kauli gani ya tofauti.

Wewe ni nani kwanza wa kumpinga Mtume wa Allah

"Kujenga nao urafiki" huwa wenzetu mnakutana nao wapi mnakojenga nao urafiki?
Sasa mbona mnakataa kuwa ni marafiki zenu?
Mtume wenu kasema muitane Kaka, wewe una kauli gani ya tofauti.

Wewe ni nani kwanza wa kumpinga Mtume wa Allah

"Kujenga nao urafiki" huwa wenzetu mnakutana nao wapi mnakojenga nao urafiki?
Wewe unataka tukutane nao wapi?
 
Nilichojifunza pindi nikiwa na muslims wengi kwa kipindi kirefu kidogo, hawapendi kusemekane kuna kasoro zozote katika imani yao hata kama ni kweli,hawasomi maandiko yao vizuri,wabinafsi na Wengi ni watata na wenye chuki dhidi ya imani nyingine ila wao hawachukiwi wala kusemwa vibaya
Someni maandiko na linalofaa fanyia kazi lisilofaa liache" sijui kama lipo"
Ila mlio na akili haba mbadilike pia
 
Kwahiyo majini wameumbwa na nani mkuu? Maana muumba ni mmoja tu au ndio miungu watatu?
Majini ni jina walilopewa na wanadamu, malaika waliasi pamoja na shetani na kufukuzwa mbinguni. Jini ni malaika aliyewahi kuasi na kufukuzwa mbinguni.
 
wanafuga majini kweli,,kasome "suratul jinn" ALLAH anawaambia waislam,hakika ninyi nyote mtaenda motoni kwani mnawaweka majini kati yangu na ninyi,,na majini yanalalamika kwa kusema kwamba,,,,tunashirikiana na wanadamu ktik kutafuta risk!!!
Majina anayo mwamposa
 
wanafuga majini kweli,,kasome "suratul jinn" ALLAH anawaambia waislam,hakika ninyi nyote mtaenda motoni kwani mnawaweka majini kati yangu na ninyi,,na majini yanalalamika kwa kusema kwamba,,,,tunashirikiana na wanadamu ktik kutafuta risk!!!
Aya gani sura gani?
 
Wapi Nabii Sulemani aliishi na Majini?
Weka Aya

Majini yamelaaniwa na kufukuzwa mbinguni yakitaka kuchungulia Mbinguni yanapigwa na vimondo.
Yenyewe yanakili mwanzoni yalikuwa yanaishi huko.


وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا

(AL - JINN - 8)
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.

وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ ۖ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّصَدًا

(AL - JINN - 9)
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Hapa nani ni mkweli, ni nyinyi mnaoyatetea Majini au Majini yenyewe?
Hapa tatizo ni ufahamu hakuna anae tetea majini isipokuwa

Unaposema kuwa majini yamelaaniwa hayo maneno yako sio sawa utakuwa unapingana na qur,an pale unaposema sikuwaumba majini na binadamu si kwa kazi nyingine bali waniabu

Fahamu majini yapo makundi 2 kundi la kwanza limtii allah lingine liko kinyume chake hata binadamu tuko hivyo

Nabii seleimani alikuwa kapewa uwezo wa kutawala vitu viote acha majini hata akisafiri kwa upepo alipotaka kusafiri aketi kwenye mkeka na kamlisha upepo ukampeleka anakukwenda hata ndege unasoma kiswa cha ndege anayeitwa hudi hudi na Mfarume barikisi?
 
Mungu hakuwahi kuumba majini, bali Maiaika ambao baada ya kuwa wameasi ndiyo wakaitwa majini
Haya majina sio ya kiswahili wala kibantu wala kingereza wala kiratini haya majini lanatokana na lugha ya kiarabu hivyo basi uwezi kuyatolea ufafanuzi bila kufahamu lugha hiyo ndio maana watu wengi wakisikia jina jinni awaamini kama ni kiumbe
 
Nini maana ya ndugu?
Ndugu ni mtu mwenye uhusiano na wewe kwa damu (wazazi wenu ni wamoja au mmechangia mzazi mmoja) au ni watu wa familia au ukoo mmoja. Kuna undugu wa imani ambao udugu huu unawafungamamnisha watu wa familia au kabila tofauti kwa imani zao. Jini hawezi kuwa na udugu na mwanadamu hata wakiwa na imani moja, kwani maumbile yao hayafanani, ni sawa kusema kuwa na udugu na nyoka au simba.
Ubile la viumbe majinni likoje?unaweza kutuwekea picha
 
Mbona muongo ?weka andiko linalosema majini yamelaaniwa .

Mbona hakuna ushahidi kuwa majini yalikuwa yanaishi huko uongo wako unakusaidia nini ?
Huyu ni wale wanaona wakikubali kuwa majini ni viumbe vilivyo umbwa kwa sababu ya kumuabudu allah kama walivyo watu anaisi aibu ndio maana kazusha
 
Kwetu Majini hayana nafasi.
Ni vitumishi vya Shetani Lusifar.
Kama wenzetu mmevikaribisha kwenye Dini hii ni juu yenu.
Kwanza hata shetani jinni ujui maana ya haya majina,haya majini yamo kwenye biblia baada ya kutolewa kwenye qur,aan na kuingizwa kwenye biblia wakati watafsiri lani maana yake ujui wapo wakirito wengine upinga kuwa majini sio viumbe ufahamu mdogo tu
 
Huyu ni wale wanaona wakikubali kuwa majini ni viumbe vilivyo umbwa kwa sababu ya kumuabudu allah kama walivyo watu anaisi aibu ndio maana kazusha
Someni kwa umakini Sura ya Majini Aya ya 8 na ya 9.
Mtapata kitu.

Majini wanasema Mwanzo walikuwa wakikaa Mbinguni, (Malaika)
Baada ya kumwasi Mwenyezi wakatimuliwa huko, na wakitamani kuchungulia kinachofanyika huko walinzi wake wana wachapa na vimondo.

Hivi hamuelewi nini hapo ?
 
Back
Top Bottom