Je ni Kweli Black men ni wana wanawake wengi zaidi ya Wanaume wengine wote?

Je ni Kweli Black men ni wana wanawake wengi zaidi ya Wanaume wengine wote?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata wanaume wazungu na pia wanaume ambao wapo loyal sana na hawacheat ni wanaume wa Asia km Korea, China, Japan na hata India na ndo maana ndoa zao zinadumu sana na many single mothers Marekani na popote duniani wamekimbiwa na black men wawe poor au rich.

Hata wazungu ingawa wapo wazi sana kw suala la ngono bado hawawafikii black men hata mashoga wanakubali; Je mnaonaje kwa uzoefu wenu?
 
Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters
Mkuu account yako inasoma kama million ngp make umezulula San ulaya
 
Umeuliza hili swali kitaalamu sana 😂 anyway huyo mwanaume black, mrefu, mwembamba, mwenye upara, na ndevu nyingi na anatumia iPhone uliyempata ww mkubalie tuu mambo mengine utayajua ukiwa kwenye mahusiano nae.
 
Umeuliza hili swali kitaalamu sana 😂 anyway huyo mwanaume black, mrefu, mwembamba, mwenye upara, na ndevu nyingi na anatumia iPhone uliyempata ww mkubalie tuu mambo mengine utayajua ukiwa kwenye mahusiano nae.
Hahahahah wewe jibu swali
 
India na some Asians countries ndoa zinadumu sababu ya arranged marriages na mashinikizo nadhani kwenye research yako cheki pia suicide (kujiua) kupi ni zaidi katika mataifa hayo..., pia kuna sehemu / utamaduni wa polygamy upo hivyo (ukiweza kuongeza kila unavyotaka ya nini ufanye cheating)?

Tatu kuna nchi divorce ni rahisi sana kupatikana wala jamii haishangai unaweza ukadivorce leo kesho ukarukia kule, Hivyo hakuna sababu ya ku cheat just move kama unavyobadilisha suti...

Hivyo basi haya mambo huwezi kuyagawa katika racial per se bali cultural (utamaduni) na perception ya what is categorized as cheating...
 
Back
Top Bottom