Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wazee wa seafood sio uchafu huo kaulize wenzio ,hao nguruwe wnakula vijijini tena wakulima.Hawa watu wanakula sana nguruwe najiuliza pengine ndio sababu ya kuwa na akili nyingi ila si bado hatuja gundua tu
Awapi sio kweli kuwa kwa China kitimoto kinaliwa kwa ukanda au kitabaka.Wazee wa seafood sio uchafu huo kaulize wenzio ,hao nguruwe wnakula vijijini tena wakulima.
Umewahi fanya kazi na Mchina au Mjapan au Mkorea ?Hongera china akili nyingi sana,hawa hawalali wapo committed kufnya kazi.
Utamaduni wao toka kale unachangia kwa kiasi kikubwa kuwa walivyo ndio maana Singapore ilikuwa rahisi kupiga hatua ya maendeleo licha ya kuwa sio China ila majority ya Han Chinese walibeba ile spirit waliyo nayo.China kwa chip bado wako nyuma kidogo lakini they are coming maana kilichotokea kama week mbili zilizopita na HUAWEI kimewaacha mabeberu na kizunguzungu, wanachotaka solve kikubwa ni machine za kuzalisha hizo chip kama zile za mdachi ASML ambazo kapigwa ban, they working day and night najua watazipata tuu maana nasikia research stage wameshavuka wanamalizia puzzles zilizobaki, Historia haiko upande wa mabeberu walishafnay huu upuuzi ili kumrudisha nyuma China lakini walipigwa na kitu kizito sana, mfano China alipigwa ban na kunyimwa kabisa technology ya GPS waliingia kazini wakaja na BeiDou kitu superior kuliko GPS, vile vile walipigwa ban space station walichofanya wakaja na ya kwao ambayo ni very modern na superior kuliko ya mabeberu, nuclear walifanya the same miaka ya 60 maana walijua bila nuclear wangeteseka tuu na kupewa order, sasa hivi wana hypersonic ambayo beberu hana na inawafanya Pentagon wasipate usingizi maana unaweza kushtukia iko mlangoni , wachina achana nao ni watu wanjua kuweka focus sana kwenye kitu wanachotaka, nimesoma nao na kule nyumbani ni kama wale washikaji wana akili sana na wanasoma usiku kucha bado, faculty zote za vyuo vikuu vya maana US kama Havard, Princeton, Yale etc kwenye masomo ya science, medicine,Engineering etc wamejaa wachina vibaya sana, hawa watu itakuwa ngumu sana kushindana nao, ila ninachoogopa ni ule ukomunisti wao maana naona kuna siku tutalazimishwa kuongea kichina dunia nzima
Wanao sana ila wanapenda kazi na mafanikio ya chochote wafanyachoHawana mda na ngono ndio Siri ya mafanikio yao
Ila unaweza tumia apps mbadala wachina nafikiri wanazoIla apps zote zinazo link na Google kama Gmail, YouTube, Google Drive, Google Photos, Google assistant nk. kwenye matoleo mapya ya Huawei hazipo.
Ukitaka kuwaelewa zaidi inabidi uanze kuchimba kutoka mwanzo wa historia yao maelfu huko ya miaka na kuangalia uhusiano na mchango wa tamaduni zao katika kuchochea mabadiliko na uelewa wa mambo.Hawa watu wanakula sana nguruwe najiuliza pengine ndio sababu ya kuwa na akili nyingi ila si bado hatuja gundua tu
Leta takwimu acha utani kule ni peking duck ,pawns hao nguruwe ni vijijini kwa vile hawana maajabu acha kudanganya watu..Awapi sio kweli kuwa kwa China kitimoto kinaliwa kwa ukanda au kitabaka.
China ktimoto kinaliwa sehemu zote na ndio nyama yao kuu.
Nakumbuka 2019 kuna jarida liliwahi kuripoti habari iliyokuja na kichwa cha habari kilichosema
"Ulimwengu hauna nguruwe wa kutosha kutimiza mahitaji ya mlo wa kitimoto kwa nchi ya china"
Apps mbadala haziwezi kuwa replacement ya hizo app hata siku moja.Ila unaweza tumia apps mbadala wachina nafikiri wanazo
Nilifanya na mchina jamaa anavuta sigara mda wowote ,tulikuwa tunalala kweny Godown 😅😅huyo jamaa halali uzuri kazi tulikuwa hatulipwi kwa mwezi ..Tunalipwa tukimaliza basi tunaunga kazi ya mwezi tunafanya siku 16 yaani tunapiga ili tumalize .Umewahi fanya kazi na Mchina au Mjapan au Mkorea ?