Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

Naongela seafood hata kucommand mchezo huo tunaujua ,hawali nguruwe kama unavyojidanganya....Mara useme fish wale pawns nao utasemaje yale majongoo?

Usilazimishe kwa vile ukisema seafood ni pana ..
Hawali nguruwe wakati nimekuwekea na data hapo inayoonesha ulaji wa nyama huku kitimoto kikiwa namba moja?

Technically vyakula vyote ambavyo vinakuwa considered kama seafood vyote ni nyama.

Kuanzia hizo pawns, shrimps nk zote hizo zipo kwenye seafood ambayo ni nyama.

Kwa hiyo inapotolewa orodha ya matumizi ya nyama halafu ukaona Kitimoto kipo on top ujue kabisa hao seafood sio kitu mbele ya Kitimoto.
 
🤣🤣Nacheka sana sio chakula pendwa kaangalie takwinu ...Naona unabisha sana.

Wachina wanakula kitu chochot kila nila ya doubts ,sijui mbwa wanakula tena wanakuwa na matamasha kabisa..

Seafoods ni kubwa nahisi kwa vile mtu wa bara tutabishana sidhani kama unajua seafoods 🤣
 
Computer CPU produced by Chinese Companies
Loongson


In response to the demands for information development, Loongson Technology always stays abreast of international IT trends and focuses on industry development and system construction based on independent innovation. Until now, we have mastered core computing technologies on CPU instruction set architecture (ISA) design (LoongArch®), processor IP core, and operating system. On this basis, we strive to create an independent and open software and hardware ecosystem and information industry system so as to provide self-developed, safe, and reliable processors to meet national strategic needs as well as high-performance, low-cost processors and basic software and hardware solutions to boost the innovative development of the information industry.




LoongOS is an industrial control operating system with streamlined, efficient, and real-time characteristics.

Loongson Browser
 
Cambricon Technologies

Founded in 2016, Cambrian focuses on the research and development and technological innovation of artificial intelligence chip products.
Committed to building core processor chips in the field of artificial intelligence, allowing machines to better understand and serve humans.




Based on the 7nm process technology, Siyuan 370 is Cambrian's first AI chip using chiplet technology. It integrates 39 billion transistors and has a maximum computing power of up to 256TOPS (INT8).
 
China ana export the most high tech companies ila patents nyingi zipo registered USA. Know the difference.

Muulize mtu yeyote haraka haraka ni nini kilibuniwa China kama hata ana idea.
 
Basi utakuwa una matatizo tu ya kucheka



 
Umesema vyema
Wewe unawajua Wachina
Sio kama wale jamaa
 
Hawa jamaa wenye kujidai kama dunia ni mali yao wamarekani na waingereza mungu bariki wametupwa huko nyuma. Ulaya na ukoloni wso mkongwe huenda watabadili njia zao za kibabe na ukoloni dhidi ya afrika.
 
🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…