Je! ni kweli dunia inazunguka jua?


nimekuelewa kaka na nimeipata concept hii. it make sense
 

huyu jamaa ni mpuuzi hajui kitu na bado anaangaika kucomment upuuzi.
ushauri wa bure ni kuwa tafuta vitabu vya physics ya olevel utiemsuli labda itakusaidia.
 
kama hutajali nipe evidence kuwa mtu akiwa nje ya dunia let say mwezini anaona dunia ikizunguka

mfano..
satellite huzunguka kwa mwendo kasi sawasawa na dunia inavyoSpin ili ku maintain ile position yake katika uso wa dunia. hii inamaanisha kwamba endapo satellite itasimama stationary basi position yake kutokea duniani itakuwa haipatikani au haijulikani. kwa sababu dunia inaSpin.

hivyo ili satellite iwe na position with reference to the earth i.e 64'E ni lazima nayo izunguke kwa mwendo sawa na dunia.

satellite hupewa mwendo kasi wa kuanzia ambapo baada ya kupewa mwendo kasi huu hubaki katika orbit inayozunguka bila kutumia energy ya mafuta au umeme kutokana na kwamba gravitation ni ndogo au negligible na pia friction force ni negligible.

mfano..
chombo kikitumwa kwenda kwenye space hutoka duniani kikiwa kinaelekea vertically upward lakini baada ya kuanza kuiacha dunia kinaonekana kama kinaenda horizontally kumaanisha kwamba hakizunguki tena mwelekeo mmoja na dunia.

mfano..

ukiwa kwenye mwezi unaiona dunia kama unavyoona mwezi kutokea duniani na position ya dunia hubadilika.
 

man nacheka tu hapa, satelite hazi exist hii nimeipata leo

Satellites don’t exist. They are a dog and pony show by our illustrious space agencies to help shore up heliocentricity. How do we know this? One word: Thermosphere.

jamaa wameelezea pia kuwa anga ambayo satelite zipo kuna joto nyuzi 2500 zinakaaje? source hii hapa

NASA’s weird and wonderful orbiting machines (pt1) - The Wild Heretic

 
Samahani kidogo hii international space station tunaweza kuiweka ktk kundi la satelite?

yap click hio link, hio space station pia wamesema ni yauongo
 
hapa naona mnachanganya madesa, kuna revolution na rotational movements of the earth, ni lazima kuzielewa na kuzitofautisha
 
.........

ushahidi wa macho
wakati wa summer northern hemisphere jua tunaliona likienda west-west-south mpaka mchana then west-west north hadi usiku kama picha inavyoonesha.

Sijaelewa vizuri mchoro huu. We umeuelewa kabisa? Hata hivyo ningependa kujua huu "ushahidi wa macho" aliufanya nani.. ili nisitumie nguvu sana kufikiri kumbe ni watu wamefabricate. Ningependa kujua aliyetoa huo ushahidi au ni hao jamaa wenyewe?


Dunia inajitilt??? Unamaanisha kuna wakati inakuwa angle nyuzi 0 halafu wakati wa summer inajitilt kwa 23.44??? Hapana dunia haijitilt bali iko tayari katika angle hiyo na angle hiyo haibadiliki..iko hivyo hivyo forever... angalia picha hii


Dunia (ya bluu) haibadili angle ya mhimili wake bali northern hemisphere inakuwa more exposed kwa jua wakati hicho kitufe cha bluee kinapokuwa upande wa kulia na kinapokuwa upande wa kushoto (hapo ni nusu mwaka tayari) southern hemisphere inakuwa more exposed na na northern less exposed interms of direct sunlight (hence intensity and heat).

tujikumbushe kitu hapa dunia inaenda ant-clockwise sio? inatoka west kwenda east hivyo ndio maana tunaona jua linatoka east kwenda west (bado tupo heliocentric)

Sawa hakuna ubishi hapo.

kutokana na mchoro hapo juu unatonesha kuwa dunia ikijitilt basi direction ya jua itabadilika na kuwa west-west-north mpaka mchana then west-west-south mpaka usiku kama picha inavyoonesha

Kama nilivyosema dunia haijitilt periodically. Iko tayari tilted na agle inakuwa maintained kama animation inavyoonesha hapo juu. Kwanza hiyo animation niliyoweka umeielewa?


Una maana gani hakujawahi kuthibitika. Aisee mbona jambo dogo sana hili yaani mwezi wa saba mwaka huu chombo cha Marekani kitafika Pluto halafu hii ishu ya kuthibitika jua kwenda kaskazi iwe ni utata?? Taratibu bana!! Jua linafika vizuri tu japo si kiwango cha kuwa la utosi hasa kama unazungumzia arctic. Hujui nchi kama Norway ama Sweden kuna wakati saa sita usiku si giza totoro kama huku Bongo? Unajua hilo?




Sijasoma kila kitu walichoandika hapo hadi nitakapopata muda maana wameandika meeengi na presentation za kitoto kama kauli za "ubishi umeisha!! Heliocentric blahblah tumeiprove wrong!!" Utoto!! Nikipata muda ntawasoma.

Kwa harakahara hiyo ya Hovering and falling naona kama imeshajibiwa na wadau kwa mifano ya abiria aliye ndani ya gari. Kama hujaelewa niko tayari kufafanua kwa lugha rahisi kabisa.

Nikupe tu hint: Hivi konda akiwa ndani ya daladala iliyo katika kasi na huyo konda anatoka nyuma alikokwenda kuchukua nauli na sasa anarudi kwa dereva halafu kabla hajafika kwa dereva, huyo konda akasimama ili amrudishie abiria wa siti ya kati chenji yake.. huyo konda anakuwa kweli kasimama au bado anakwenda kwa mwendo wa kasi ya gari? Ukielewa vizuri hii concept hoja ya hovering (helkopta kuganda hewani kwanini haiachwi) and falling (konda akidondosha coin inaangukia wapi) inajibika vizuri plus hoja za Sheikh fulani katika post za nyuma kuwa dunia haizunguki.

NB. Ni vizuri ujijengee tabia ya kufuatilia facts za kisayansi juu ya mwili wa binadamu, chura, mende, panzi, kunguni, maji, hewa, ubongo, jua, nyota, Samsung, Bill Gates, Justin Bieber, Nokia Lumi (anga zako), hisabati plus everything else etc hutababaishwa na hoja nyepesi za watu kama hao wala hutajihangaisha kuthibitisha maajabu na usahihi wa Biblia ama Korani kwa kuifananisha na sayansi na wala hutaogopa kujadili dini eti utakufuru.. ila unatakiwa ujue kweli mambo..sayansi na falsafa (dini ikiwa ndani yake).
 
lukindo,

Kweli kusoma ni muhimu hasa physics yan huyo mweshimiwa inaonekana wala hajui nini watafiti wanachokisema juu ya earths rotation na revolution sawa na denti wa form one tu.
 
Last edited by a moderator:
sio waisilamu tu hata bible inaungana na quran kuwa dunia haizunguki, nimeepuka kueka mambo ya dini hapa sababu kuna watu wataanza kukashifu wenzao
mkuu we sema wapi bible inaonesha kuwa dunia haizunguki jua la nami ntajifunza kitu kipya
 
mkuu we sema wapi bible inaonesha kuwa dunia haizunguki jua la nami ntajifunza kitu kipya


Thou, Lord, in the beginning didst lay the foundation of the earth.
- Hebrews 1:10

The sun, moon, and stars were created after the "foundation of the earth" was laid.
(Gen. 1:9-18)

Who hath established all the ends of the earth?
- Proverbs 30:4

He established the earth upon its foundations, so that it will not totter, forever and ever.
- Psalm 104:5

The world is firmly established, it will not be moved.
- Psalm 93:1 & 1 Chronicles 16:30

Where wast thou when I laid the foundations of the earth??Who hath stretched the line upon it? Whereupon are the foundations thereof fastened? Or who laid the corner stone thereof?
- Job 38:4-6

For the pillars of the earth are the Lord's, and he set the world on them.
- 1 Samuel 2:8

It is I who have firmly set its pillars.
- Psalm 75:3

Who stretched out the heavens...and established the world.
- Jeremiah 10:12
 
Chief-Mkwawa,

Challenging ni kitu cha kawaida na cha lazima kwa kila investigation na ndiyo zinazofanya ukweli uzidi kuwa ukweli. wewe pitia universal theories zote kwenye physics, biology na hata chemistry kote kuna naliopinga na wanaoendelea kupinga hata leo lakini evidence for their suggestions wala hazina mashiko..

Vingi tunavyovisoma mashuleni ni vile vilivyopitishwa na wanasayansi wengi toka zamani vikajadiliwa utafiti ukafanyika na mwisho vikaonekana ni kweli...

But sikatai kuwa watu hawawezi kugundua kitu tofauti na tunavyoamini.
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa,

Katika nukuu hizi sijaona yoyote inayoonesha dunia haizunguki jua. Au labda kwa kuwa kuna neno foundation linatajwa ? au hii "The world is firmly established, it will not be moved."???

Swali: firmly established to where or to what?? will not be be moved from where or to where?? Haiwezi kuwa it will not be moved from its orbit???
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa vizuri mchoro huu. We umeuelewa kabisa? Hata hivyo ningependa kujua huu "ushahidi wa macho" aliufanya nani.. ili nisitumie nguvu sana kufikiri kumbe ni watu wamefabricate. Ningependa kujua aliyetoa huo ushahidi au ni hao jamaa wenyewe?
huyo ni mtu amesimama na huo mstari rangi kama nyekundu ni direction ya jua



nasa wanasema inajitilt
What causes the seasons? :: NASA's The Space Place

Kama nilivyosema dunia haijitilt periodically. Iko tayari tilted na agle inakuwa maintained kama animation inavyoonesha hapo juu.

picha ya pili hapo wameonyesha sababu dunia inajilit inamaana ingeinama kidogo hivyo hata direction ya jua ingebadilika lakini at that time direction haibadiliki
 
Katika nukuu hizi sijaona yeyote inayoonesha dunia haizunguki jua.

tofauti kubwa ya geocentrism na heliocentrism sio nani anamzunguka yupi bali nani ndio foundation.

geocentrism wanaamini dunia ndio foundation ya universe, ilianza dunia kwanza then ndio vikaja vitu vyengine na kwenye biblia mungu pia amesema hivyo ilianza dunia ndio ikaja jua.

huku kwenye heliocentrism nafasi ya dunia imechukuliwa na jua kwamba lenyewe ndio foundation na lipo katikati
 

Bado sijaielewa hiyo picha yako. Ntafikiria zaidi. Kuhusu NASA, katika link uliyoweka hakuna sehemu wanasema inajilt kwa kubadili angle ya axis. Hakuna. Nanukuu moja ya paragraph katika page uliyolink "As Earth orbits the sun, its tilted axis always points in the same direction. So, throughout the year, different parts of Earth get the sun's direct rays."

Labda hii paragraph yao inakuchanganya..."Sometimes it is the North Pole tilting toward the sun (around June) (dunia yangu ya bluu inapokuwa kulia) and sometimes it is the South Pole tilting toward the sun (around December) (Dunia yangu inapokuwa kushoto)." ila angalia angle ya axis haibadiliki.
 

Ahaa!! Kwa hiyo unataka kuniambia mjadala hapa ni kuhusu foundation (msingi) ni nani kati ya jua na dunia (Geocentrism vs Heliocentrism) na si habari ya dunia kuzunguka jua? Maana title ya thread naona inasema "Je ni kweli dunia inazunguka jua?" Kwa hiyo hizo nukuu za Biblia ulizoweka ni kusisitiza hoja ya Geocentrism na si kuwa Biblia inasema dunia haimove?

Kama nilivyosema Misahafu haijakusudiwa kuwa marejeo/reference ya hoja za kisayansi. Huwa naona Waislam fulani wanavyohangaika "kuipa nguvu" Qur'an kwa kuonesha wapi hoja zake zinathibitishwa na sayansi! Hili ni tatizo.

Kuhusu Biblia ama Qur'an hasa Bible kwa nukuu ulizoweka hapo juu kusudio lake ni kuzungumzia juu ya uumbaji na ukuu wa Mungu na kwamba ndiye aliyeanzisha yote.

Usahihi wa kisayansi hauna maana kama hoja ya nani kaanzisha existence.. kuna mambo kibao si Biblia wala Qur'an zinazoweza kuyaeleza kwa mantiki (na hakuna haja) kama kwanini Mungu aliumba Shetani!!

Si kazi ya hivi vitabu kujibu hayo na wala havijajibu ila watu wanalazimisha kuwa vimejibu!!! Hivyo idea hapo ya Biblia si Geocentrism bali "Eeeh nyie Binadamu Mungu ndiyo kaanzisha haya yote."

Poteza muda na Geocentrism ya Biblia usahau kutenda mema kisha uende motoni!! Hivyo Qur'an ama Biblia ikitofautiana na sayansi juu ya facts fulani binafsi huwa naangalia muktadha na makusudio ya vitabu hivyo kueleza hayo kwa namna hiyo na si kuishambulia sayansi ama kulazimisha eti Biblia iko sahihi!!
 

hii mada ni part ya geocentric/heliocentric wanapopingana, ambaye yupo katikati ndie anaezungukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…