Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mkuu hata hapo Kenya,wamejenga maflyover Nairobi, Mombasa,naivasha na kule eldoreti Ila huwezi kusikia makelele Kama haya ya hapa kwetu kwa watu waliokosa exposure na washambaHivyo ulivyovitaka ni vitu muhimu lakini ni vidogo sana kwa Taifa. Havihitajiki kuwa wimbo wa kila siku.
Kuna wakati niliishi Bamako, Mali - nchi ambayo robo 3 ni jangwa. Ndani ya mwaka mmoja flyovers zinajengwa hata 3, husikii hata kwenye TV wakitangaza. Unapita barabarani, unashangaa "ala, kumbe na hapa wanajenga flyover!". Tena zilikuwa ni flyovers kamili siyo kama lile daraja la TAZARA.
Tunapiga kelele sana za mafanikio kwa vitu vidogo sana kwa Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira gani ya PPP yanatengenezwa? Huoni wafanyabiashara wakibambikwa makodi na kubughuziwa hadi kufunga biashara na wengine kufariki?Mafanikio makubwa yanagharama zake. Mwaka huu mshahara umeongezwa.
Kuhusu ajira ni lazima ujue haiwezekani kila mtu akaajiriqa na serikali. Serikali inatengeneza mazingira mazuri kupitia PPP na huko ajira rasmi na zisizo rasmi hutokea.
Ajira za walimu zimetangazwa. Najua bado eneo hilo lina changamoto ila tutafika pazuri zaidi
Kwa hiyo hayo mengi aliyofanya ndo yamepelekea kuongeza only USD 100 kwenye GNI na kuvuga kabisa market systems za mazao ya korosho,kahawa,mbaazi na tumbaku huku ukuaji wa uchumi ukiongezeka kutoka 7% hadi 4% si ndiyo mkuu?
Mazingira gani ya PPP yanatengenezwa??? Huoni wafanyabiashara wakibambikwa makodi na kubughuziwa hadi kufunga biashara na wengine kufariki???
Unajua Ali Mufuruki mlimfanya nini nyie watu kwenye kodi???
Unajua Shamte marehemu mlimfanya nini nyie watu???
Unajua Manji mmemfanya nini nyie watu???
Kuna genius anaitwa Magu anaetaka kuifanya Tanzania kuwa Kama ulaya in 5 years baada ya kuongeza USD 100.00 kwa miaka mitanoShida Ni pesa yote ifike hazina na ipangiwe majukumu...
Bureue change zilifungwa na Sheria taratibu kubadilishwa maamuzi yote Ni bot...
Serikali haiwezi kufanya biashara wajifunze kupitia Tanesco... Sekta binafsi Ina umuhimu wake ...
Hivi ni kwanini hili swali huwa mnauliza sana? Namba ya simu ya nini humu?Umesahau kuweka Namba ya simu
Ila yanasaidia watanzania wengine
Kuna genius anaitwa Magu anaetaka kuifanya Tanzania kuwa Kama ulaya in 5 years baada ya kuongeza USD 100.00 kwa miaka mitano
Ajabu ni kwamba hizo ndege wanazojisifu nazo, Tangu zinunuliwe na zianze kupiga rooute hazijaweza kurudhisha ata nusu ya pesa iliyotumika kuzinunuaHivi kwa akili tu ya kawaida huu uchumi wetu wa kuvuta na kamba Mtu anasifia kununuliwa ndege kwa cash??..
By the way maendeleo ni hatua kwa hatua hata ww ipo siku ubongo wako utaendelea na utausoma huu Uzi wako tena, ninaamini utajidharau sana na utajiona mjinga kwa kutetea mambo unayodhania kuwa unayajua kumbe hujui.
Barabara, Flyovers, Shule,Zahanati, Viwanja vya michezo Viko wapi hapa kwetu kijiji sijaona hata komojaYaaani Vinachekeshaga sanaaa...
Sasa Mtu Anapoitumia Huduma Ya Serikali Mfano Barabara,Flyovers,Shule,Zahanati,Viwanja vya michezo....
Kote huko inakuwa Ni KODI YAKE TU iliyotumika KUYAWEKA HAYO?!!!
Jamii Nikutegemeana Maana Ninavyopenda KULA UBWABWA wa Kutoka Mbeya Haina Maana nimekula PESA YANGU....yaani ile NOTI NYEKUNDU ya buku 10 iweze kuyeyushwa na kunyonywa na PARIETAL cells za UTUMBO WANGU MDOGO?!!!
Mwendokasi ipo na imekuwa Msaada mkubwa Sana ukiacha changamoto za kiuendeshajiHiyo ppp Haina Cha maana... Wapi mwendo Kasi dar... Hakuna faida na mkopo unaatakiwa kulipwA...
Sawa. Kipi Ni kipi? Ni lazima mmoja aanze halafu anamvuta mwenzake. Economic growth si ndio inapelekea economic development?Tujenge uchumi ulioshifikishi.
Acha kuangalia Economic Growth focus na Economic Development.
CCM inatakiwa kuangalia sanaa na sekta ya uchumi inayoshirikisha wengi na tuache hizo sekta zinazohusu wachache.
#YNWA
Economic growth ya TZ haiakisi ECONOMIC DEVELOPMENT hataa..Sawa. Kipi Ni kipi? Ni lazima mmoja aanze halafu anamvuta mwenzake. Economic growth si ndio inapelekea economic development?