tuanze na wewe...Hili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off
Usaliti upi sasa wewe dogo usaliti kijumla au na mtu wa karibu? usaliti kijumla mbona ndio maisha ya kawaida tunayoishi wanadamu wa leo au wewe uko dunia gani aiseeHili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off
aisee..........mbona kama
mmmmmh dawa yako iko jikoni:A S 39:
those are secrets people take to the gravendo maana ikaitwa siri....there are some things which should not be revealed........
Hili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off
Naona umeshaamka....
we jishaue tu......nna hasira na wewe.......
we jishaue tu......nna hasira na wewe.......
those are secrets people take to the grave
mmmmmh dawa yako iko jikoni:A S 39:
Sijawahi kusaliti wakati tunaelewana,vurugu vikishaanza namtafuta wa mwingineHili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off
lazymate....haki siku hizi naingia nite shift humu...ndo maana twapishana hivi
kesi yetu nakushauri mtafute tundu lissu awe wakili wako. Huwezi shinda kirahisi