Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

Wenye akili kama yako, wengi wenu ni waarabu wa Zenji au wa bara. Hivi unajua chanzo cha vita, wewe mwehu? Wale wanafunzi wa Tanzania walioathiriwa na chuma, mipaka yetu kuvamiwa, je, Ulaya walitusaidia? Waarabu wenzako walitusaidia kipi zaidi ya kumsapoti Nduli? Unajua kwamba Ghadafi baada ya vita alituomba msamaha tukayamaliza? Kenge maji wewe.
 
Toka kipindi alipoipindua serikali ya Milton Obote, mwaka 1971, Idd Amin alifanya kazi kubwa kuhakikisha rasilimali za Uganda zinabaki kuwanufaisha waganda na si vinginevyo. Aliingia madarakani na kukuta asilimia kubwa ya uchumi wa Uganda ukishikiliwa na Wahindi ambao walikuwa hawainufaishi uganda kwa lolote zaidi ya kutorosha pesa na kuzipeleka kwao India au uingereza. Idd Amin baada ya kuliona hilo akaamua kuja na sera ya kuwatimua Wahindi ndani ya ardhi ya Uganda ndani ya siku 90 tu aliwataka waondoke nchini humo na kuacha rasilimali zote ziwanufaishe Waganda.

Biashara kubwa zote katika jiji la Kampala zilikuwa zikishikiliwa na Wahindi ambao kiuhalisia ni wabaguzi. Idd Amin aliwahi kuhojiwa kwanini amefikia uamuzi wa kuwatimua wahindi mwaka 1972, alijibu wazi kuwa haoni umuhimu wa uganda kuendelea kuwa na watu ambao hawataki kuwa waganda bali walikuwa wanataka tu kuendelea kuinyonya Uganda . Serikali ya Idd Amin iliwapa chaguo wahindi hao wapewe uraia wa uganda lakini asilimia kubwa walikataa wakitaka wabaki na passport za Uingereza , na pia alisema kuwa wahindi ni watu wabaguzi hawataki kujichanganya na jamii zingine kama katika suala la kuoa/kuolewa ,wao wanataka kuendeleza asili yao tu. Hivyo Idd Amin aliona bora waondoke waelekee kwao india au uingereza waiache Uganda kwa Waganda.

Ujasiri huu ndio ulimfanya Robert Mugabe aige tukio hili na kuwatimua wazungu katika ardhi ya Zimbabwe na kuwamilikisha wananchi wa zimbabwe rasilimali za Zimbabwe.

Wazungu walimchukia Idd Amin kutokana na siasa zake za kutetea maslahi ya waafrika hivyo waliamua kumuundia zengwe na hatimaye walimtoa Idd Amin kupitia jeshi la Tanzania mwaka 1979.

Idd Amin alihojiwa alipokuwa uhamishoni Saudi Arabia, kwanini aliondoa jeshi lisiendelee kupigana.Alimjibu mwandishi kuwa hakuona sababu ya kupigana kuiangamiza Kampala ambayo ilikuwa ndio kitovu cha uchumii wa nchi ya Uganda. Hakutaka raia wake wa Uganda wapate maafa zaidi hivyo aliamua kuondoka uhamishoni na kuiacha uganda salama.

Idd Amin aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa hajawahi kumiliki akaunti ya benki nchi za nje tofauti na viongozi wengi wa kiafrika wa wakati huo pindi walipopata madaraka walihamisha fedha kupeleka katika nchi za nje.
 
Nyerere alitumiwa na Wazungu kumchafua Iddi?

Mengine yote ungeweza kudanganya kwa nia ya kumpamba. Ila hilo la mgongano wake na Mwalimu ungeacha.

Iddi Amini alikuwa na maneno ya hovyo na vitisho. Mwalimu alijitahidi sana kutomzingatia. Mpaka pale Iddi alipojitoa ufahamu kutaka kung'ang'ania eneo la nchi yetu kuwa eneo la Uganda.

Uvumilivu huo usingeuvumilia hata wewe.

Kama ni Wazungu walimtuma Mwalimu kumchafua Iddi, basi hata wakati wa Vita wangempa msaada wa kivita ili kumchakaza Iddi Amini. Badala yake, Iddi Amini ndiyo alipata msaada kutoka nchi wahisani wa Kiislamu (Libya).
Iddi amini lipindua inch, yeye akawa raisi,
sasa lkn kabla ya hapo kanisa la roma walikuwa wamejenga kanisa kubwa sasa uganda ili litumike kama kituo kikuu cha makanisa yote ya ukanda wa nchi za mashariki,
baada ya amini kuingia madarakani akachukua kanisa na kulifanya msikiti,
Kitendo kile kilikwenda kuharibu sana utaratibu wa roma,
wakaamua kuandaa mipango ya kumtoa amini madarakani,

Baada ya miaka 50 toka ile vita itokee shirika la ujasusi la marekani litaweka wazi sababu za vita vile

Shirika la ujasusi la marekani huweka hadharani mambo yao kila baada ya miaka 50 toka wafanye jambo,

Kuna mambo meengi sana yapo nyuma ya pazia yamefanywa na marekani kuanzia nani atawale wapi na nani afanye nn
 
Wenye akili kama yako, wengi wenu ni waarabu wa Zenji au wa bara. Hivi unajua chanzo cha vita, wewe mwehu? Wale wanafunzi wa Tanzania walioathiriwa na chuma, mipaka yetu kuvamiwa, je, Ulaya walitusaidia? Waarabu wenzako walitusaidia kipi zaidi ya kumsapoti Nduli? Unajua kwamba Ghadafi baada ya vita alituomba msamaha tukayamaliza? Kenge maji wewe.
🙁🙁🙁🙁
Mbona ameuliza kistaarabu tu?
 
Toka kipindi alipoipindua serikali ya Milton Obote, mwaka 1971, Idd Amin alifanya kazi kubwa kuhakikisha rasilimali za Uganda zinabaki kuwanufaisha waganda na si vinginevyo. Aliingia madarakani na kukuta asilimia kubwa ya uchumi wa Uganda ukishikiliwa na Wahindi ambao walikuwa hawainufaishi uganda kwa lolote zaidi ya kutorosha pesa na kuzipeleka kwao India au uingereza. Idd Amin baada ya kuliona hilo akaamua kuja na sera ya kuwatimua Wahindi ndani ya ardhi ya Uganda ndani ya siku 90 tu aliwataka waondoke nchini humo na kuacha rasilimali zote ziwanufaishe Waganda.

Biashara kubwa zote katika jiji la Kampala zilikuwa zikishikiliwa na Wahindi ambao kiuhalisia ni wabaguzi. Idd Amin aliwahi kuhojiwa kwanini amefikia uamuzi wa kuwatimua wahindi mwaka 1972, alijibu wazi kuwa haoni umuhimu wa uganda kuendelea kuwa na watu ambao hawataki kuwa waganda bali walikuwa wanataka tu kuendelea kuinyonya Uganda . Serikali ya Idd Amin iliwapa chaguo wahindi hao wapewe uraia wa uganda lakini asilimia kubwa walikataa wakitaka wabaki na passport za Uingereza , na pia alisema kuwa wahindi ni watu wabaguzi hawataki kujichanganya na jamii zingine kama katika suala la kuoa/kuolewa ,wao wanataka kuendeleza asili yao tu. Hivyo Idd Amin aliona bora waondoke waelekee kwao india au uingereza waiache Uganda kwa Waganda.

Ujasiri huu ndio ulimfanya Robert Mugabe aige tukio hili na kuwatimua wazungu katika ardhi ya Zimbabwe na kuwamilikisha wananchi wa zimbabwe rasilimali za Zimbabwe.

Wazungu walimchukia Idd Amin kutokana na siasa zake za kutetea maslahi ya waafrika hivyo waliamua kumuundia zengwe na hatimaye walimtoa Idd Amin kupitia jeshi la Tanzania mwaka 1979.

Idd Amin alihojiwa alipokuwa uhamishoni Saudi Arabia, kwanini aliondoa jeshi lisiendelee kupigana.Alimjibu mwandishi kuwa hakuona sababu ya kupigana kuiangamiza Kampala ambayo ilikuwa ndio kitovu cha uchumii wa nchi ya Uganda. Hakutaka raia wake wa Uganda wapate maafa zaidi hivyo aliamua kuondoka uhamishoni na kuiacha uganda salama.

Idd Amin aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa hajawahi kumiliki akaunti ya benki nchi za nje tofauti na viongozi wengi wa kiafrika wa wakati huo pindi walipopata madaraka walihamisha fedha kupeleka katika nchi za nje.
Pumba, pumba, pumba... Kwanini lazima kuoa muhindi? Kama serikali ilishindwa kusimamia makusanyo ya ushuru ktk biashara za Wahindi, kwn ni kosa lao. Kwahiyo, tuwafukuze Wachina Kariakoo sababu hawataki kuoa dada zetu? Au kwakuwa hawana uraia wa TZ? Biashara tufanye Wachaga tu na Wakinga, alafu.
 
Asubuhi moja Idi Amin akiwa ameambatana na mawaziri wake aliendesha gari hadi kwenye maegesho ya magari ya Kampala katika eneo lake la Citroen.

Alipofika katika maegesho hayo alishuka kwenye gari lake na kuanza kuzunguka katika eneo hilo. Aliingia kwenye moja ya duka lililozunguka eneo la maegesho na kukuta kundi la wanaume wakicheza bao. Amin aliomba ajiunge na mchezo huo na mmoja wa wachezaji akampisha.

Mchezo ulianza tena na habari zikaenea kuwa rais anacheza bao. Umati ulikusanyika kutazama. Muda si muda ilionekana kuwa Amin alikuwa mchezaji mzuri. Alishangiliwa na umati wa watu huku akimfunga mtu mmoja baada ya mwingine.

Katikati ya shangwe, alikuja kiwete kwa majina ya Wandera Maskini, alijulikana sana Kampala. Wandera alipita katikati ya umati kwa kutumia mikongojo yake na kwenda na kuanguka mbele ya Amin.

Akamkazia macho Amin na kuanza kumtukana. Alimwita rais majina na kumwambia kwamba hakupaswa kuwafukuza Waasia kwa sababu mtu wa kawaida sasa alikuwa akiteseka. "Hatuna bidhaa madukani bado unajiita rais. Ukitaka, niue.” Alisema Wandera Maskini.

Mmoja wa walinzi wa Amin aliinua mkono wake kumpiga Wandera, lakini Amin alimzuia. “Nipige risasi! Nasikia wewe ni muuaji na unawapiga watu kwa bunduki yako. Nipige risasi sasa” alichokoza moto Wandera.

Amin alisimama kimya kimya na kuondoka katika eneo hilo . Siku tatu baadaye Wandera alionekana akiingizwa kwenye gari la kijeshi, hadi leo, hakuna anayejua kilichompata.

Jioni hiyo hiyo, Redio Uganda ilitangaza kwamba mtu yeyote ambaye ni kilema, kipofu, hana mikono, na mtu yeyote ambaye alihisi kwamba yeye ni maskini na mlemavu kiasi kwamba alihitaji msaada, aripoti katika kituo cha polisi kilicho karibu. Serikali ilidai kuwa tangazo hilo lingewapa kazi, malazi ya bure na chakula cha bure huko Jinja.

Asubuhi iliyofuata, maelfu ya walemavu walijitokeza katika Vituo vya Polisi vya Kampala. Walipakiwa kwenye malori ya kijeshi na kuendeshwa hadi Jinja. Huko Jinja, zilipakuliwa kama mchanga kwenye Mto Nile. Wale waliokuwa na mikono walishikilia ili wasiangukie mtoni lakini walipigwa risasi. Mto Nile ulijaa mamba hivyo walipoteza maisha walemavu hao.
 
PUMBA PUMBA PUMBA .... kwan lazima kuoa muhindi? kama serikali ilishindwa kusimamia makusanyo ya ushuru ktk biashara za wahindi,kwn ni kosa la nan. kwahiyo tuwafukuze wachina kariakoo sababu hawataki kuoa dada zetu?? au kwakuwa hawana uraia wa TZ? Biashara tufanye wachaga tu na wakinga,, alafuu
Naona unaendeshwa na hisia, jiandae kuwaharibia wanaokuzunguka jioni yao. Umejawa na mapovu
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.

Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake.

Idd Amini aliitwa majina yote mabaya na nchi za magharibi baada ya utiriri wa matukio ya wadhalilisha Wazungu na kuwatimua Wahindi ili Waganda wenyewe waendeshe shughuli zote za kiuchumi na kukuza uchumi wao.

Miongoni mwa visanga alivyo vifanya Idd Amini ni pamoja na:-
  • Kuwaamuru mabalozi wa nchi za Ulaya wambebe juu juu na kiti kisha kumzungusha mitaani huku wananchi wakishangalia. Alifanya hivi kulipa kisasi jinsi babu zetu walivyowabeba wazungù.
  • Kuna wakati Amin aliomba msaada wa kifedha kwa Malkia Elizabeth, msaada ukachelewa, baada ya miezi kadhaa ndipo Amin akapewa hiyo pesa, kwa jeuri akamwambia sina shida na pesa yako, akairudisha. Malkia alikasirika sana.
  • Idd Amini aliwatimua Waasia wote, Wahindi na Waarabu ili kupisha Waganda wenyewe wafanye biashara.
Hivyo ni basi baada ya kuwatoa Wazungu dole la jicho, ndipo walipomuanza kumchonganisha Mwalimu na Amini ili Mwalimu ampige Amini na apotezwe kabisa.

KUKAWA na maneno kati ya Mwalimu na Amini ambayo hayakuwa mazuri, hatimaye yakapelekea vita ya mataifa mawili haya.

Habari za Idd Amini kula nyama za watu, je ilikuwa uzushi ama propaganda?

Je habari za Amin kuwapasua wanawake wajawazito, ilikuwa ni kweli au uzushi?

Je habari za Amini kuwatupa mto Nile walemavu zina ukweli gani? Je kuna uhusiano gani na ule wimbo wa Mchakamchaka Idd Amini akifa siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba?

Karibuni waungwana
Boss, should we discuss issues of this kind miaka hii kweli? Alikuwa shujaa, hakuwa, alitumika na wazungu hakutumika, inasaidia nini leo hii?! Hata tukipata majibu Leo yatatatua nini?
 
Back
Top Bottom