Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.
Acha basi. Huyuhuyu anayeteseka na watu milioni 2 pale gaza na wanamgambo 20 elfu ndo apampane na china na ashinde. Inchi yenye wanajeshi zaidi ya idadi ya kila raia wote wa israel ndo ishindwe na israel. Ukinipa sababu za Mungu hapo ndo umenidanganya kabisa. Hitra peke yake tu aliwafanya wayahudi anachotaka mpaka akaenda dhibitiwa na msoviet
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ile vita Israel haukupata upinzani wowote ule.
Kilicho tokea wanajeshi wa nchi hizo walirudi nyuma baada ya kupigwa na ambush ya kushutukuza na isiyo tegemewa na jeshi la anga la Israel ile ambushi iliharibu vifaa vingi vilivyo kuwa vimeandaliwa kwa ajili ya vita hiyo ,hivyo Israel ilikuwa inateka maeneo bila mapigano.
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
hakuna siku MASHOGA alishina vita kwa siku 6 laba alipigana na vipofu...ni propaganda tu,na watueleze sasa walishindaje ile vita kama kweli walishinda
 
Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.
Wewe ndio umeandika pumba kabisa[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Unataka kuona show ya vita? Waambia hamas/hesbollah wafanye mashambuli israel halafu nchi za kiarabu ziingilie ndio utajua ile vita ya siku sita ilikuwa cha mtoto. Kipigo wanachopewa hamas kwa sasa ni cha kistaarabu sana israel haitaki kufanya maangamizi makubwa inapiga kwa kuchagua walipo maadui tu ndio maana unaona zoezi linaenda taratibu, wanapiga kwa kuchambua
 
ile vita, israel ilikua inapambana na majeshi ya mataifa, hivyo ilikua ni kufyatua makombora ukielekeza aliko adui bila kujali.....
Hivi vita vya sasa, Israel inapambana na adui aliyejificha ndani ya watoto na kina mama, kila mara Israel wakipiga, mnachukua mapicha na video kuonyesha ilivyoua watoto, ila hamuonyeshi namna HAMAS walifyatua kombora lao kwenye mazingira ya watoto.
Ifahamike Israel ikitaka kuifuta Gaza wala haiwezi kuchukua lisali moja, wana uwezo wa kufanya kitu kinachoitwa carpet bombing, tatizo dunia itapiga makelele hadi kuzimu, hivyo inabidi kuvizia vizia HAMAS ndani ya akina mama na watoto.
 
2006 na Hezbollah ilichukua siku ngapi?. Propaganda bana.
 
Wewe ndio umeandika pumba kabisa[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Nilichoandika huwezi elewa ikiwa hukupewa neema hiyo ya kuelewa habari za mambo yajayo na kingine hizi ni habari za muda ujao hivyo kwa wewe unayeishi leo na jana huwezi elewa kamwe. Na kama habari za muda uliopita unashindwa kuelewa utaelewaje habari za muda ujao?
 
Acha basi. Huyuhuyu anayeteseka na watu milioni 2 pale gaza na wanamgambo 20 elfu ndo apampane na china na ashinde. Inchi yenye wanajeshi zaidi ya idadi ya kila raia wote wa israel ndo ishindwe na israel. Ukinipa sababu za Mungu hapo ndo umenidanganya kabisa. Hitra peke yake tu aliwafanya wayahudi anachotaka mpaka akaenda dhibitiwa na msoviet
Hata wakati Nuhu anawaambia watu gharika inakuja walikuwepo watu kama wewe wakisema haiwezekani Mungu aangamize dunia kwa gharika, kwanza hayo maji yatajaaje dunia nzima kiasi cha kufunika kila mlima? Hivyo sishangai wewe kubisha.
 
We ni mpumbavu.
Tukana unavyoweza maliza matusi yooooote unayoyajua andika lugha chafu zoooote zilizoja kichwani mwako nilivyoandika ndivyo itakavyokuwa maana biblia haijawahi ongopa na haitaongopa kamwe.
 
Kwahiyo uliyo yaandika hapo yapo kwenye Bible gani?
Hebu rudia ulicho kiandika ujione ulivyo mpuuzi.
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Guerrilar war huwa ni mbaya zaidi kuliko vita ya face to face. Hamas wanapigana guerrilar war na hicho ndiicho kinampa shida Israel. Ni kama vita vya Chui, huwa ni vibaya zaidi kuliko vya Simba
kawaida Chui huwa anapigana vita ya kushtukiza halafu anakimbia mafichoni, Simba huwa anapigana vita ya face to face
 
Mbona hoja yako ya kipumbuvu sana Israel si kaawamisha raia wa Gaza kusini na Kaskazini kule wamebakiia Hamas na yeye kapelleka vifaru lakini kameza bungo mapema tu wanaondoka Gaza baada kichapo, usiwe punguani Hamas wanavaa sale zao tunaona propaganda za Israel kutaka kuuwa raia nikuulize swali wale watoto zaid ya 9000 waliouwa Hamas walikuwa wamejificha nyuma yao? Na mabomu yakija yanachagua wakuuwa?
Kubishana na wewe ni kupoteza muda, it’s obvious you know nothing. Hao raia zaidi ya 20,000 wa Palestina walikufa ni Hamas watupu? Kama sio imekuwaje wauawe ikiwa raia wote walihamishwa wakabaki Hamas peke yao maeneo yenye vita? Shirikisha kichwa chako kabla haujaandika utumbo.
 
Nani ana muda wa kubishana na punguani kama wewe umejaa ushabiki mandazi, hao mabwana zako wanafanya mashambulizi ya holela kuuwa raia unaawambia watu waamie Khan Younis na Jabalia Camp. Kisha unapga mabomu kwenye hizo kambi ulizowambiia waamie, unapiga mabomu hospital unapiga mabomu magari za kubebea wagonjwa, unapiga mabomu shulle, Hamas wamesema wazi sisi tupo uwaanja wa vita Gaza.

Halafu unaliza swali la kishoga unajitoa ufahamu, hao Mabasha zako walipiga mabomu hospital nzima Shifa wakasema hapo ndiyo Makoo Makuu ya Hamas wakaonyesha propaganda zao kuwa kuna maandaki hili wafanye mauji dunia yote imeona uonga mashoga kama nyie ndioyo mnameza huu uharo.

Hivi kwa nini hawa Waisrael weusi uwa wajinga sana.
 
Back
Top Bottom