Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya aKiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Aiseeh nimejiuliza pia
 
Hivi kwa akil yako kuna mtu atasoma huu uharo?
Kwa akili yako ni uharo maana akili yako ni uharo mtupu. Na kwa akili gani uliyo nayo unaweza soma nilichoandika? huo uwezo huna waachie wenye nao.
 
Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.
Aliezileta hizi dini Africa alaaniwe.

Kaondoa kabsa uwezo wa kufikiri wa mtu mweusi.
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
usitukumbushe haya machungu...acha kabisa. hamas si jeshi linaloonekana hivi mtaani au linalokuja kupambana na wanajeshi wenzao. Hamas wanajificha kwenye nyumba, misikiti,shule,hospitali na mahandaki. wanachofanya wazayuni kwa sasa hata ukiwa na jirani yako humpend kule palestina unasema tu hamas wamo mule kwenye nyumba yake. jamaa wanaiangusha. yale majeshi ya nchi za kiarabu kama zote yalipigwa vibaya sana mwaka huo. huwa sitaki hata kukumbuka ila najua allah atakuja kulipa tu akhera kwa kitendo kile ch akutudhalilisha sisi waarabu.
 
Duh.... nahisi Yawhe na Allah wanazinguana kimtindo, au?
 
Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.
Duh huu uharo wallah umepitiliza level za uharo,ww unataka mjadala wote uhamie huku,Yesu huyu huyu aliyewambwa msalabani na hao wayahudi ndiye unasema anategemewa kuwa msaada wao??

We jamaa ni graduate wa level ya juu ya upumbavu,Stupid kabisa
 
Unataka kuona show ya vita? Waambia hamas/hesbollah wafanye mashambuli israel halafu nchi za kiarabu ziingilie ndio utajua ile vita ya siku sita ilikuwa cha mtoto. Kipigo wanachopewa hamas kwa sasa ni cha kistaarabu sana israel haitaki kufanya maangamizi makubwa inapiga kwa kuchagua walipo maadui tu ndio maana unaona zoezi linaenda taratibu, wanapiga kwa kuchambua

Wanauwa watoto, wamama, wazee, vijana halafu unasema wanapiga kwa kuchambua! Kama hujui si bora ukae utulie! Cnn na bbc zimewaharibu enyi wayahudi weusi msio na utu wala huruma
 
Kubishana na wewe ni kupoteza muda, it’s obvious you know nothing. Hao raia zaidi ya 20,000 wa Palestina walikufa ni Hamas watupu? Kama sio imekuwaje wauawe ikiwa raia wote walihamishwa wakabaki Hamas peke yao maeneo yenye vita? Shirikisha kichwa chako kabla haujaandika utumbo.

Kwahiyo hao elf20 ni hamas?
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Hayo mataifa sita yalikuwa yanapigana yakiwa yako ndani ya mashimo kama Hamas(panya)? Je ilikuwa ni combat war au hayo mataifa yalikuwa hanavaa kiraia tu yanavizia kwa kuchungulia dirishani sebuleni na kuwashambulia wanajeshi wa Israel kwa RPG?
 
Nani ana muda wa kubishana na punguani kama wewe umejaa ushabiki mandazi, hao mabwana zako wanafanya mashambulizi ya holela kuuwa raia unaawambia watu waamie Khan Younis na Jabalia Camp. Kisha unapga mabomu kwenye hizo kambi ulizowambiia waamie, unapiga mabomu hospital unapiga mabomu magari za kubebea wagonjwa, unapiga mabomu shulle, Hamas wamesema wazi sisi tupo uwaanja wa vita Gaza.

Halafu unaliza swali la kishoga unajitoa ufahamu, hao Mabasha zako walipiga mabomu hospital nzima Shifa wakasema hapo ndiyo Makoo Makuu ya Hamas wakaonyesha propaganda zao kuwa kuna maandaki hili wafanye mauji dunia yote imeona uonga mashoga kama nyie ndioyo mnameza huu uharo.

Hivi kwa nini hawa Waisrael weusi uwa wajinga sana.
Endeleea kuumia roho, kipigo kitaendelea mpaka Hamas wamalizwe.
 
Nina miaka 34 ila Sijawahi kumuona au kukutana na Gaidi ingawa nasikia tunaishi nao ila nimeshawahi kuwaona au kukutana na wanajeshi wa nchi mbalimbali.
Ngoja ninyamaze tu...ila hata humu jf kwenye huu Uzi magaidi yamo na yanajulikana.
 
Duh huu uharo wallah umepitiliza level za uharo,ww unataka mjadala wote uhamie huku,Yesu huyu huyu aliyewambwa msalabani na hao wayahudi ndiye unasema anategemewa kuwa msaada wao??

We jamaa ni graduate wa level ya juu ya upumbavu,Stupid kabisa
Kwa akili yako ni uharo maana akili yako yenyewe ni uharo mtupu. Na kwa akili gani uliyo nayo unaweza soma nilichoandika ukapata maarifa yaliyomo? huo uwezo huna waachie wenye nao.
 
Haha haha hahaha Wabantu tunavurugwa
Naamini walioleta dini walikuja kupandikiza ujinga kwa mtu mweusi ili watutawale vizuri.

Kwa upande wangu niko tofauti na wale wasioamini hizi dini kama mimi maana mimi naamini MUNGU yupo.

Yaani naamini kuna aliejuu kuliko wote lakini kuhusu hizi dini hapana ni wajanja waliamua kutumia historia na kutengeneza mambo yao.
 
Mauti yakikufika ndio utaongea vizuri
Sure nitaongea vizuri sana tena sana na Yesu wangu na wateule wengine kama akina mzee Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Daudi, Paulo na wengine wengi maana siendi kuzimu naenda mbinguni. Na infact si lazima mauti yanikute naweza nyakuliwa vilevile.
Wewe ukifa unaenda kuzimu kwenye mito ya pombe, na vilevile unaweza kabisa ukakutano na kipondo cha ile miaka 7 ya dhiki kuu hapa duniani.
Mwamini Yesu leo uepuke hasara ya roho yako.
 
Watu ni kenge sana watu nna tabia ya kusahau, ndicho kinachowakuta waGaza sasa.

Hio vita Ya siku sita, hio misri alipoteza karibia wanajeshi 80,000 mpaka leo hana hamu Na myahudi. Tena raisi wa misri kipindi hicho aliamini kabisa israel haiwezi kufanya kitu, Gamal alijawa na kiburi sana
 
Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.

Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.

Sija kusapoti ila nimejikuta nakushangaa kwakutupleka kwenye udini,hivyo vita havina uhusiano na Mungu.jiondoe huko walokole man Nini?
 
Back
Top Bottom