Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Aiseeh nimejiuliza pia
 
Hivi kwa akil yako kuna mtu atasoma huu uharo?
Kwa akili yako ni uharo maana akili yako ni uharo mtupu. Na kwa akili gani uliyo nayo unaweza soma nilichoandika? huo uwezo huna waachie wenye nao.
 
Aliezileta hizi dini Africa alaaniwe.

Kaondoa kabsa uwezo wa kufikiri wa mtu mweusi.
 
usitukumbushe haya machungu...acha kabisa. hamas si jeshi linaloonekana hivi mtaani au linalokuja kupambana na wanajeshi wenzao. Hamas wanajificha kwenye nyumba, misikiti,shule,hospitali na mahandaki. wanachofanya wazayuni kwa sasa hata ukiwa na jirani yako humpend kule palestina unasema tu hamas wamo mule kwenye nyumba yake. jamaa wanaiangusha. yale majeshi ya nchi za kiarabu kama zote yalipigwa vibaya sana mwaka huo. huwa sitaki hata kukumbuka ila najua allah atakuja kulipa tu akhera kwa kitendo kile ch akutudhalilisha sisi waarabu.
 
Duh.... nahisi Yawhe na Allah wanazinguana kimtindo, au?
 
Duh huu uharo wallah umepitiliza level za uharo,ww unataka mjadala wote uhamie huku,Yesu huyu huyu aliyewambwa msalabani na hao wayahudi ndiye unasema anategemewa kuwa msaada wao??

We jamaa ni graduate wa level ya juu ya upumbavu,Stupid kabisa
 

Wanauwa watoto, wamama, wazee, vijana halafu unasema wanapiga kwa kuchambua! Kama hujui si bora ukae utulie! Cnn na bbc zimewaharibu enyi wayahudi weusi msio na utu wala huruma
 

Kwahiyo hao elf20 ni hamas?
 
Hayo mataifa sita yalikuwa yanapigana yakiwa yako ndani ya mashimo kama Hamas(panya)? Je ilikuwa ni combat war au hayo mataifa yalikuwa hanavaa kiraia tu yanavizia kwa kuchungulia dirishani sebuleni na kuwashambulia wanajeshi wa Israel kwa RPG?
 
Endeleea kuumia roho, kipigo kitaendelea mpaka Hamas wamalizwe.
 
Nina miaka 34 ila Sijawahi kumuona au kukutana na Gaidi ingawa nasikia tunaishi nao ila nimeshawahi kuwaona au kukutana na wanajeshi wa nchi mbalimbali.
Ngoja ninyamaze tu...ila hata humu jf kwenye huu Uzi magaidi yamo na yanajulikana.
 
Duh huu uharo wallah umepitiliza level za uharo,ww unataka mjadala wote uhamie huku,Yesu huyu huyu aliyewambwa msalabani na hao wayahudi ndiye unasema anategemewa kuwa msaada wao??

We jamaa ni graduate wa level ya juu ya upumbavu,Stupid kabisa
Kwa akili yako ni uharo maana akili yako yenyewe ni uharo mtupu. Na kwa akili gani uliyo nayo unaweza soma nilichoandika ukapata maarifa yaliyomo? huo uwezo huna waachie wenye nao.
 
Haha haha hahaha Wabantu tunavurugwa
Naamini walioleta dini walikuja kupandikiza ujinga kwa mtu mweusi ili watutawale vizuri.

Kwa upande wangu niko tofauti na wale wasioamini hizi dini kama mimi maana mimi naamini MUNGU yupo.

Yaani naamini kuna aliejuu kuliko wote lakini kuhusu hizi dini hapana ni wajanja waliamua kutumia historia na kutengeneza mambo yao.
 
Mauti yakikufika ndio utaongea vizuri
Sure nitaongea vizuri sana tena sana na Yesu wangu na wateule wengine kama akina mzee Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Daudi, Paulo na wengine wengi maana siendi kuzimu naenda mbinguni. Na infact si lazima mauti yanikute naweza nyakuliwa vilevile.
Wewe ukifa unaenda kuzimu kwenye mito ya pombe, na vilevile unaweza kabisa ukakutano na kipondo cha ile miaka 7 ya dhiki kuu hapa duniani.
Mwamini Yesu leo uepuke hasara ya roho yako.
 
Watu ni kenge sana watu nna tabia ya kusahau, ndicho kinachowakuta waGaza sasa.

Hio vita Ya siku sita, hio misri alipoteza karibia wanajeshi 80,000 mpaka leo hana hamu Na myahudi. Tena raisi wa misri kipindi hicho aliamini kabisa israel haiwezi kufanya kitu, Gamal alijawa na kiburi sana
 



Sija kusapoti ila nimejikuta nakushangaa kwakutupleka kwenye udini,hivyo vita havina uhusiano na Mungu.jiondoe huko walokole man Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…