Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD
Dodoma ni chafu kupindukia, jiji ambalo ni capital ya nchi mpaka leo watu wake wanajisaidia kwenye vichaka vya stand ya 77 pembezoni mwa Dodoma Sec School!!

Mitaro michafu inanuka mikojo

Stand kuu vyoo vimeziba hakuna matengenezo na vimewekewa vidumu vya mafuta ya alizeti
 
Dom has never slept 🔥🔥
Hii video itaua mtu ya kule Kwa wavuvi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…