Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza haiwezi divert Nje ya hapo [emoji16][emoji16]

Dom extra mile View attachment 2523868

Acha kutuonyesha Jangwa na mapori, angalia mji hapa
Screenshot_2023-02-20-23-47-29-623.jpg
 
DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD
Dodoma ni chafu kupindukia, jiji ambalo ni capital ya nchi mpaka leo watu wake wanajisaidia kwenye vichaka vya stand ya 77 pembezoni mwa Dodoma Sec School!!

Mitaro michafu inanuka mikojo

Stand kuu vyoo vimeziba hakuna matengenezo na vimewekewa vidumu vya mafuta ya alizeti
 
Dom has never slept 🔥🔥
Hii video itaua mtu ya kule Kwa wavuvi
 
Back
Top Bottom