Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji23][emoji23] kwa hiyo hizo taasisi 120 zikiwa zinajenga maghorofa inamaana mwanza ujenzi wa maghorofa utakuwa hauendelei au
 
Ndio maana nakushauri utembee we mfipa wa kampi katoto ,,,jiji ulilofika ni mbeya tu ,miji mingine unaijua Kwa picha tu ,,,
Dodoma benki zao ni hizi Nakutajia na location
NMB -udom,psssf,kambarage tower,na barabara ya sita,na bunge
CRDB-nyerere square,udom,bunge, psssf na chamwino
TCB ,-soko kuu, psssf
AZANIA-pssf
EQUITY -uhindini
EXIM-paradise
NBC -paradise
DCB-pssf
ABSA -psssf
UBA -uhindini
MWANGA HAKIKA-chako ni chacko...
MKOMBOZI -nyerere square
Kuna benk hazifiki hata 15 ,jiji Zima ..hamna Cha KCB Wala nini wanazidiwa na kahama[emoji28][emoji28]
 
Kwanza Hakuna Public sector ambako Halmashauri wanakusanya mapato haipo,mapato yote ni from private sector sector..

So Kwa kuwa Dom inakusanya mapato mengi kuliko Mwanza jibu ni kwamba private sector ya Dom is well developed kuliko Mwanza..
Twende mdogo mdogo vyanzo gani vikubwa vya private sectors hapo Dodoma ambavyo halmashauri ya Dodoma inakusanya?
 
Dom ipo kwenye list hii hapa πŸ‘‡
 
[emoji23][emoji23] kwa hiyo hizo taasisi 120 zikiwa zinajenga maghorofa inamaana mwanza ujenzi wa maghorofa utakuwa hauendelei au
Volume of investments ndio itaamua wapi Mzunguko wa pesa itategemea..

Saizi mumeshapigwa dole mnaruka ruka tuu
 
Taja viwanda vikubwa vitatu vya dodoma ukiacha cha mbolea kinachojengwa.
πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ Kinajengwa au kimemalizika kimeanza uzalishaji Toka July na sisi wa Sumbawanga tunatumia Hadi Mbolea za Intracom fertilizers.

Kwa taarifa Yako sio tuu wanazalisha mbolea Bali na bidhaa za ujenzi kama lime,vigae nk
 
πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ Kinajengwa au kimemalizika kimeanza uzalishaji Toka July na sisi wa Sumbawanga tunatumia Hadi Mbolea za Intracom fertilizers.

Kwa taarifa Yako sio tuu wanazalisha mbolea Bali na bidhaa za ujenzi kama lime,vigae nk
Taja viwanda acha mbamba mbamba.
 
Wapi nimetaja viwanda? 😁😁😁
Dom
Pia ulisema halmashauri wanakusanya kodi kupitia private sector ndio maana Mwanza tumeziwa, nikakubali, nikauliza private sector gani hizo, ukasema viwanda, nikauliza dodoma kuna viwanda kuzidi Mwanza, ukaruka tena ukasema hujasema chochote kuhusu viwanda....Lakini wewe utakuwa na shida kichwani sio bure, kama watu wa njombe mna akili kama panzi ni haki yenu kuendelea kuwa na hudumavu wa akili na mwili.
 
Kiwanda Cha magodoro kipo dar ..Hilo ni jina tu
Kiwanda cha Magodoro Dodoma kipo Kizota,Dodoma ....brand name ni Magodoro Dodoma Asili hicho kilichopo Dar kilihamishwa kutoka Dodoma miaka ya 1990 na brand name ni Magodoro Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…