Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ninyooshe Kwa blaa blaa au Kwa kuonesha vitu vivid? Dom is next level kama mnalia lia mkidhani eti mtapunua aisee sahauni Kuna km 200 za dual carriage 50 km Kila upande hazijaanza hapo Dom [emoji2957][emoji2957]

Zaidi ya taasisi 120 Bado hazijaanza kujenga HQ zao hapo na zote ni magorofa.

Uwanja na arena loading , kiufupi hakuna siku Dom itawapa nafasi ya kupumua.
[emoji23][emoji23] kwa hiyo hizo taasisi 120 zikiwa zinajenga maghorofa inamaana mwanza ujenzi wa maghorofa utakuwa hauendelei au
 
Fala la kwanza ni wewe ,eti Kwa vile kasapoti ego Yako unajua ndio kazi imeisha [emoji16][emoji16]

Kwanza banks alizotaja Sina hakika kama hazipo ila mwaka huu KCB wanafungua matawi 6 Tanzania possibly Dom,Tanga,Mbeya na kuongeza mengine Dar,Mwanza na Arusha..

Kuhusu viwanda mwambie akutafutie kiwanda Cha Mbolea pekee Tanzania hapo Mwanza.
Ndio maana nakushauri utembee we mfipa wa kampi katoto ,,,jiji ulilofika ni mbeya tu ,miji mingine unaijua Kwa picha tu ,,,
Dodoma benki zao ni hizi Nakutajia na location
NMB -udom,psssf,kambarage tower,na barabara ya sita,na bunge
CRDB-nyerere square,udom,bunge, psssf na chamwino
TCB ,-soko kuu, psssf
AZANIA-pssf
EQUITY -uhindini
EXIM-paradise
NBC -paradise
DCB-pssf
ABSA -psssf
UBA -uhindini
MWANGA HAKIKA-chako ni chacko...
MKOMBOZI -nyerere square
Kuna benk hazifiki hata 15 ,jiji Zima ..hamna Cha KCB Wala nini wanazidiwa na kahama[emoji28][emoji28]
 
Kwanza Hakuna Public sector ambako Halmashauri wanakusanya mapato haipo,mapato yote ni from private sector sector..

So Kwa kuwa Dom inakusanya mapato mengi kuliko Mwanza jibu ni kwamba private sector ya Dom is well developed kuliko Mwanza..
Twende mdogo mdogo vyanzo gani vikubwa vya private sectors hapo Dodoma ambavyo halmashauri ya Dodoma inakusanya?
 
Ndio maana nakushauri utembee we mfipa wa kampi katoto ,,,jiji ulilofika ni mbeya tu ,miji mingine unaijua Kwa picha tu ,,,
Dodoma benki zao ni hizi Nakutajia na location
NMB -udom,psssf,kambarage tower,na barabara ya sita,na bunge
CRDB-nyerere square,udom,bunge, psssf na chamwino
TCB ,-soko kuu, psssf
AZANIA-pssf
EQUITY -uhindini
EXIM-paradise
NBC -paradise
DCB-pssf
ABSA -psssf
UBA -uhindini
MWANGA HAKIKA-chako ni chacko...
MKOMBOZI -nyerere square
Kuna benk hazifiki hata 15 ,jiji Zima ..hamna Cha KCB Wala nini wanazidiwa na kahama[emoji28][emoji28]
Dom ipo kwenye list hii hapa 👇
Screenshot_20230301-135926.jpg
 
[emoji23][emoji23] kwa hiyo hizo taasisi 120 zikiwa zinajenga maghorofa inamaana mwanza ujenzi wa maghorofa utakuwa hauendelei au
Volume of investments ndio itaamua wapi Mzunguko wa pesa itategemea..

Saizi mumeshapigwa dole mnaruka ruka tuu
 
Taja viwanda vikubwa vitatu vya dodoma ukiacha cha mbolea kinachojengwa.
🤪🤪🤪🤪 Kinajengwa au kimemalizika kimeanza uzalishaji Toka July na sisi wa Sumbawanga tunatumia Hadi Mbolea za Intracom fertilizers.

Kwa taarifa Yako sio tuu wanazalisha mbolea Bali na bidhaa za ujenzi kama lime,vigae nk
 
Taja viwanda acha mbamba mbamba.
 
Wapi nimetaja viwanda? 😁😁😁
Dom

Pia ulisema halmashauri wanakusanya kodi kupitia private sector ndio maana Mwanza tumeziwa, nikakubali, nikauliza private sector gani hizo, ukasema viwanda, nikauliza dodoma kuna viwanda kuzidi Mwanza, ukaruka tena ukasema hujasema chochote kuhusu viwanda....Lakini wewe utakuwa na shida kichwani sio bure, kama watu wa njombe mna akili kama panzi ni haki yenu kuendelea kuwa na hudumavu wa akili na mwili.
 
Kiwanda Cha magodoro kipo dar ..Hilo ni jina tu
Kiwanda cha Magodoro Dodoma kipo Kizota,Dodoma ....brand name ni Magodoro Dodoma Asili hicho kilichopo Dar kilihamishwa kutoka Dodoma miaka ya 1990 na brand name ni Magodoro Dodoma
 
Back
Top Bottom