Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Acha kutudanganya wewe,soko kubwa la wine ni zinazotoka S.Africa.
 
Acha stori ndefu kama vile unaandika riwaya, hatuna haja ya kuwatafuta mafundi watupe ushahidi wa kinachoonekana kwa macho,, sisi huwa tunaongea kwa picha tu, Dodoma haijawahi kusimama na kila siku mijengo inazidi kuporomoshwa si ya watu binafsi wala si serikali kila sehemu ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 

Attachments

  • FB_IMG_16777494750158348.jpg
    35.5 KB · Views: 10
Hawanaga facts zaidi ya porojo ,ndio maana namba na picha zinawaumbua πŸ”₯πŸ”₯
 
Mbona unakuwa mshamba kaka, haya majengo uliyoleta hapa mbona ni ya kitambo sana,,,, au unataka nikupe na ushahidi

Hapo kuna jengo moja la wizara mtumba, kuna jengo la NEC uchaguzi house limekamilika na tayari linafanya kazi lipo Iyumbu, kuna mjengo ya UDOM hapo, pia naona Benki kuu, Wakandarasi house

Majengo yote yamejengo kipindi hichooo,,,, kuna ilo ghorofa ambalo halijapigwa plasta nadhani lipo Makulu kama unaenda UDOM

Watu wameanza kurudi walikotoka kazi zimepungua sana
 
Sasa shida nini? Nilitaka kukuonesheni kuwa Dodoma hailali iwe project ni mpya au ya zamani kila kitu kinatembea, iwe ni makazi ya watu binafsi au majengo ya serikali vyote vinakamilishwa siyo kwa kuchechemea mnavyonadi hapa.
 
Sasa unajadiliana na mporipori kuhusiana na pombe za kitajiri wakati bia yenye soko kwao ni Balimi na kinywaji maarufu ni Chibuku, wanachomudu wengi ni gongo na mataputapu.
 
Sasa shida nini? Nilitaka kukuonesheni kuwa Dodoma hailali iwe project ni mpya au ya zamani kila kitu kinatembea, iwe ni makazi ya watu binafsi au majengo ya serikali vyote vinakamilishwa siyo kwa kuchechemea mnavyonadi hapa.
Sijakataaa nikwel project zilikuwepo,,, narudia tena zilikuwepo ila sasa hivi zimepungua sana
 
Acha kutudanganya wewe,soko kubwa la wine ni zinazotoka S.Africa.
nenda maduka ya vileo ya jumla au Bar za kawaida utakutana na local wines zinazotengenezwa Dodoma pekee, brands kama Alko Vintages,Dompo,Dane,Dodoma wine,Altar wine zinaongoza kwa mauzo. Wines za South Africa zinafika asilimia 20 tu ya soko zima na nyingi ya hzo brands utazikuta kwenye supermarkets namahoteli makubwa wakati hizi za Dodoma zinapatikana popote na hata wateja wa kipato cha kawaida
 
Acha mzaha Mzee, ujenzi wa Taasisi za Serikali sio tuu haupoi Bali haujafika hata nusu ya zinazohitajikaπŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…