Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Sasa route kutishia sehemu Moja ambayo ni city centre Kuna tatizo gani? Mbona sioni hoja?
 
Kama hizo Guests ndio unaita Hotel basi Kwa Dom ni nyingi kama miti.
 
Hapa ulipoonesha ni 25km from cbd na hapo ni baadhi ya mitaa ya kata ya buswelu huko Ilemela, kama mtaa unafananishwa na cbd ya dodoma hakika mwanza ipo mbali sana😝😝😝😝
Unajua kusoma? Hapo panafanana na Manyoni Vijijini Itigi huko,ni aibu kusema eti ni ndani ya Jiji.
 
Unajua kusoma? Hapo panafanana na Manyoni Vijijini Itigi huko,ni aibu kusema eti ni ndani ya Jiji.
Wivu tu unakusumbua,Kuna mtaa gan smart kama huo ,,,hizo nyumba sio za TBA Wala NHC ,,niletee picha za nkuhungu ,na mkonze [emoji28][emoji28][emoji28]
Dodoma huwezi pata nyumba za hvyo zimejengwa na private,,,, other than NHC [emoji28][emoji28]
 
Yaani apo zote ulizotaja angalau Dompo inajitutumua lakn izo zengne hata Dom hpati
 
Kwahiyo apo umetaja viwanda 50
 
Jamani nimeishi Mlimwa C miezi 3, nimesoma Dodoma miaka 2, Dodoma saa moja jioni daladala zinaanza kupungua saa 2 hpati daladala. Kuna siku nimeagiza vitu Mwanza nipokee Dom gari limefika saa 2 natoka stand nipate daladala lakn wapi. Ikabidi nirudi stand ili nipate bodaa
 
Dodoma ni zaidi sana ya mwanza. Mbali. Mwanza imesambaa kihasarahasara, hiyo wanayodai ni CBD, ni kituko. Tatizo wameanza kuina maghorofa jana. Exposure nada. Eti mtu anasema mtaa msafi anaona ndio maajabu. Yani watu wa mwanza wanashangaa vitu ambavyo ata mtu wa songea hashtuki. Mtu akitoka katavi akienda mwanza anaona ni kama tu kwao sema kuna tughorofa tuwili,.
 
Acha kuabudu nchi zingine we mpuuzi uzalendo uanzia nyumbani, ni kweli kitambo kwenye haya mambo alianza SA na akawa anaaminika kama Kenya ya enzi hizo kwa Tz lakini mambo yanabadilika hivyo usikariri, Wine ya Dodoma imepiga hatua kubwa na variety zake zimeshakuwa nyingi na hamna tena ulazima wa wine za SA kwa consumer walio wengi.
 
Hivi we mjanja wa dodoma unabishana na mtu wa mwanza kabisaa? 🤣 🤣 Yani hao wenzio bado wapo kwenye mhaho wa maghorofa na picha hawana ata aibu wanashindana na arusha kisa wapo wengi kama nyuki kumbe makolo tu
 
Historia na bla! bla! bla! bla! Kikubwa mnakubali kuwa kupitwa mmepitwa hiyo ndo point muhimu.
 
Hivi we mjanja wa dodoma unabishana na mtu wa mwanza kabisaa? 🤣 🤣 Yani hao wenzio bado wapo kwenye mhaho wa maghorofa na picha hawana ata aibu wanashindana na arusha kisa wapo wengi kama nyuki kumbe makolo tu
Gold teeth kaa kwa kutulia Unganeni Dom,Arusha na Mbeya mkujee
 
Ukweli usemwe tujifunze Dom kuna Dompo tu izo zengne ni Chan'gaaa
 
Sasa route kutishia sehemu Moja ambayo ni city centre Kuna tatizo gani? Mbona sioni hoja?
Mi naona wanabwabwaja tu hapa kuna daladala gani hapo Mwanza isiyoripoti Natta na makoroboi stendi za hapo CBD isitoshe magari mengi uelekeo ni mmoja wa nyashishi-mjini-kisesa na nyashishi-mjini-airport, point yenye abiria wengi na tegemeo hapo mwanza ni mzunguko (CBD)
Asubuhi kila mtu uelekeo ni CBD jioni kama makondoo yote yanagombania usafiri stendi ya Natta kama machizi kuelekea mahome iwe ni ilalila, Nyasaka-kiloleli,kisesa, airport, bwiru n.k point muhimu ni kwamba ni lazima gari zote zitege town sasa mnajidaia nini hapa mbele ya Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…