Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #3,021
Acha sifa za kijinga wakati ndiyo magodoro yanayowaokoa wasukuma wa Mwanza, hakuna godoro linalouza usukumani kuzidi hilo naomba muweko na shukrani basi hata kidogo kwa mengi mnayotendewa na jiji la kisasa.Dodoma asili anafanya biashara ndani ya mkoa wa Dodoma tuu na nimeyajua magodoro ya Dodoma asili coz nmesoma apo
Jamani nimeishi Mlimwa C miezi 3, nimesoma Dodoma miaka 2, Dodoma saa moja jioni daladala zinaanza kupungua saa 2 hpati daladala. Kuna siku nimeagiza vitu Mwanza nipokee Dom gari limefika saa 2 natoka stand nipate daladala lakn wapi. Ikabidi nirudi stand ili nipate bodaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Hivi we mjanja wa dodoma unabishana na mtu wa mwanza kabisaa? [emoji1787] [emoji1787] Yani hao wenzio bado wapo kwenye mhaho wa maghorofa na picha hawana ata aibu wanashindana na arusha kisa wapo wengi kama nyuki kumbe makolo tu
Sasa kwa kuwa kakaririshwa demu wako na msela wake kila ukimwita ghetto ndio kawimbo beiiibii ngosha bhebhe ninunulie doumpoo ndo sasa wajifanya kuifagilia kumbe ndo brand pekee unayoifahamu.Ukweli usemwe tujifunze Dom kuna Dompo tu izo zengne ni Chan'gaaa
Acha uongo wew ,,, endelea kujichimbia huko kisorya mambo ya mjini utayajulia wapi .
Serena hotel
Ramada hotel
Kilimanjaro Hyatt regency
Gran melia
Golden tulip hotel
Sea cliff hotel
Peacock hotel
Kibo palace
Malaika beach resort
And so more hapo dar na Zanzibar
Utajua hujui ,,,,,unakaa dar bonyokwa ,au kingolwira ...toa ujinga hapa ,,,eti Kuna nyota 5 Tano tanzania nzima ....kawapige kamba wagogo wa huko chipogolo ....hapa umenoaWe mbuzi mie nakaa DSM na hizo shobo zako peleka kagongwa-kahamia tinde.
Back on topic nina wasiwasi na kiwango chako cha elimu au ufahamu juu ya unachokibishania, naomba hili tulimalizie hapa maana una uelewa finyu juu ya masuala ya utoaji madaraja katika kiwanda cha hoteli.
Nishakuambia hizo kamba wachote hao kina choice variable,,,,sio humu ,,, daladala za kwenda nyamadoke zinapita nata,? Au makoroboi,, daladala za kwenda ilemela tokea Usagara/nyanshishi zinapita nata? au makoroboi,,,,vipi za airport nyashishi , luchelele mzunguko, za kwenda kanyerere,za mnangani ? Za mahina kati via bugando na bugarika......Mi naona wanabwabwaja tu hapa kuna daladala gani hapo Mwanza isiyoripoti Natta na makoroboi stendi za hapo CBD isitoshe magari mengi uelekeo ni mmoja wa nyashishi-mjini-kisesa na nyashishi-mjini-airport, point yenye abiria wengi na tegemeo hapo mwanza ni mzunguko (CBD)
Asubuhi kila mtu uelekeo ni CBD jioni kama makondoo yote yanagombania usafiri stendi ya Natta kama machizi kuelekea mahome iwe ni ilalila, Nyasaka-kiloleli,kisesa, airport, bwiru n.k point muhimu ni kwamba ni lazima gari zote zitege town sasa mnajidaia nini hapa mbele ya Dodoma.
Nilichogundua jamaa soko la wine hapa Tanzania halijui kabisa.Yaani apo zote ulizotaja angalau Dompo inajitutumua lakn izo zengne hata Dom hpati
Naweza kuwa mpuuzi kweli lakini bado haiondoi uhalisia Soko la Wines hapa Tanzania linashikiliwa na SA.Unataka tubadili nyekundu kuwa nyeupe kisa ni products za hapa nyumbani? Kina Fiorenzo na Kato bado sana wana safari ndefu kulishika soko la Tanzania huo ndiyo ukweli.Acha kuabudu nchi zingine we mpuuzi uzalendo uanzia nyumbani, ni kweli kitambo kwenye haya mambo alianza SA na akawa anaaminika kama Kenya ya enzi hizo kwa Tz lakini mambo yanabadilika hivyo usikariri, Wine ya Dodoma imepiga hatua kubwa na variety zake zimeshakuwa nyingi na hamna tena ulazima wa wine za SA kwa consumer walio wengi.
Kumbe Dodoma kuna wajanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi we mjanja wa dodoma unabishana na mtu wa mwanza kabisaa? [emoji1787] [emoji1787] Yani hao wenzio bado wapo kwenye mhaho wa maghorofa na picha hawana ata aibu wanashindana na arusha kisa wapo wengi kama nyuki kumbe makolo tu
Hatuwezi kupitwa na mji unaosaidiwa kila kitu na Serikali .Tena mshukuruni sana JPM vinginevyo mgeendelea kuwa na matembe yenu mpaka kati kati ya mji [emoji3]Historia na bla! bla! bla! bla! Kikubwa mnakubali kuwa kupitwa mmepitwa hiyo ndo point muhimu.
Kumbe we ni comedian ,,unadhani mwanza ni ugogoni.hapo,,,,kama malaika ni nyota 3 , mwanza hotel itakuwa nyota ngapi [emoji12][emoji12]...
Kaangalie rating ya hizi hotel uje na majibu
Tilapia hotel
Ryan's bay hotel
Gold crest hotel
Malaika beach resort
The golden pigeon hotel
Mwanza hotel
The kingdom hotel
Eden palace hotel
Midland hotel
Leyshof hotel
Lenana hotels
Antelope hotel...
Katizame Kama hata Moja wapo inashuka nyota 3 .......na left Uzi ,[emoji28]
Kwamba hujui kuwa bodi ya utalii na wizara ya utalii wanatoa standard na rating za hotels ...hizo specifications zote ulizotaja hamna hotel ambayo haina kati ya nilizozimention hapo ...stop pretending..We jamaa ni limbukeni nani kakwambia hoteli za Afrika mashariki yetu zilishawahi kufanyiwa ratings zaidi ya makadirio ya nyota basing on guest experiences? (Unazoona mtandaoni mostly ni fake only for marketing strategy)
Kwa kuwa hii ni taaluma na kuna watu wanaubobezi wa hizi mambo, mimi na wewe naomba tujifunze kwanza ndipo tujibizane, nimeingia mtandaoni nikascreen shot baadhi ya taarifa zitakazo tusaidia ku-judge,
Kiufupi kwa list hiyo hapo uliyoitaja kama ndiyo hoteli pekee zinazoaminika Mwanza basi Mwanza haina 4 star hata moja ndiyo maana hapa chini nimeamua kuambatanisha sifa za nyota 3 tu kwa sababu ndo zinafikiwa na baadhi ya finest hotels ulizotaja hapo juu.View attachment 2536389View attachment 2536390View attachment 2536391View attachment 2536392
Ukizidiwa unaanza kuililia Serikali wakati NSSF,PSSF, NHIC hawa ndiyo wajenzi wa majengo mengi yanayoacha alama na chakujivunia katika miji yote Tanzania na Mwanza ikiwemo kama siyo wao na ccm hule mtaa wa ma-national housing ya wahindi rufiji, jengo la Gold Crest, benki kuu, ccm kirumba, Rock city mall,stendi,soko n.k sijuhi mngeliringia nini au ziwa.Hatuwezi kupitwa na mji unaosaidiwa kila kitu na Serikali .Tena mshukuruni sana JPM vinginevyo mgeendelea kuwa na matembe yenu mpaka kati kati ya mji [emoji3]
Sasa endeleeni kuomba na maji ya Ziwa Victoria yafike muwe mnaoga maji safi siyo yale ya kuoga mtu unapauka na ngozi inasinyaa kama umepaka Baby powder mwili mzima [emoji3]
Kumbe jibu unalo tungeringia ziwa...nyie hapo ugogoni mngeringia nin[emoji28][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12]Ukizidiwa unaanza kuililia Serikali wakati NSSF,PSSF, NHIC hawa ndiyo wajenzi wa majengo mengi yanayoacha alama na chakujivunia katika miji yote Tanzania na Mwanza ikiwemo kama siyo wao na ccm hule mtaa wa ma-national housing ya wahindi rufiji, jengo la Gold Crest, benki kuu, ccm kirumba, Rock city mall,stendi,soko n.k sijuhi mngeliringia nini au ziwa.
Kwamba hujui kuwa bodi ya utalii na wizara ya utalii wanatoa standard na rating za hotels ...hizo specifications zote ulizotaja hamna hotel ambayo haina kati ya nilizozimention hapo ...stop pretending..
Gold crest ni nyota 4 pure ,,,, tilapia hotel the same,,,,....by the way fika malaika beach resort ndio useme huu upuuZi wako
Usitishwe na kingereza hapa ..Kwa complications zako ,,,,,,,bas Serena ni 3 star hotelHizi hoteli za laki 2 per night zenye swimming pool na gym ya umma ndo zinakutisha ndugu yangu, hivi unaijua 4 star standard kweli?
Yaani ukitaja nyota 4 (hoteli za kula raha/vacationaries) akili yangu inanituma Arusha, Dar na Zanzibar siyo Mwanza, kumbuka hapo mwanza hata hoteli inayoigusa Mount Meru au Grand Melia hakuna na hadhi ya hoteli siyo maghorofa bali kuna vigezo vingi vinazingatiwa ukianza na location, level na quality ya huduma,amenities,upatikanaji wa kila kitu muhimu, uwezo wa kukata hamu na kiu ya matarajio ya mteja n.k
Ngoja nikupe na sifa za 4 star wenda ukanielewa.View attachment 2536407View attachment 2536408View attachment 2536409View attachment 2536410View attachment 2536411View attachment 2536412
Fahari ya jiji la kisasa ni Mvinyo wa kitajiri tokea katika ardhi iliyobarikiwa yenye kustawisha Zabibu adhimu yenye aroma nzuri na ladha murua. Na fahari ya Mwanza ni harufu kali ya vinyesi, dagaa na furu.Kumbe jibu unalo tungeringia ziwa...nyie hapo ugogoni mngeringia nin[emoji28][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12]
Usishangae ikaangukia huko linapokuja suala la ku-classify hoteli hatuangalii majina makubwa bali ni vigezo tu usipokidhi unabwagwa, japo najua kuwa Hyatt Regency kwa level yake ni 4 star kulingana na level ya huduma, mandhari,facilities, amenities na group la visitors wake uangukia kwenye kundi la spendors au vacationers.Usitishwe na kingereza hapa ..Kwa complications zako ,,,,,,,bas Serena ni 3 star hotel
Kumbe unavyoona wewe [emoji28][emoji28]...nikajua wanavyoona wataalamu....Mimi nimezungumzia Serena we umedakia Hyatt regency,,,,....japo sio mtaalamu wa masuala ya hotel ila nakushauri kasome upya hizo notisi ulizopewa ,inaonekana Kuna mahala hujaelewa..by the way usituchote hapa ...Usishangae ikaangukia huko linapokuja suala la ku-classify hoteli hatuangalii majina makubwa bali ni vigezo tu usipokidhi unabwagwa, japo najua kuwa Hyatt Regency kwa level yake ni 4 star kulingana na level ya huduma, mandhari,facilities, amenities na group la visitors wake uangukia kwenye kundi la spendors au vacationers.
Kundi la mwisho la nyota yaani nyota 5 nilikwambia ni dogo mno lakini ukuniamini, kundi hili la hoteli udili na matajiri na watu maarufu tu kwa wingi mfano mdogo ni lodge mbili pale Serengeti NP moja inaitwa Bilila Kempinski na Singita Sasakwa lodge(only VIP's) hapa watu wote maarufu unaowafahamu wakivisit attractions au wakija mapumziko Serengeti ufikia hapa.
Lakini hazipewi nyota tano kwa kuwa lodge kulingana na location zake haziwezi kukidhi vitu vingi vinavyoitajika kuipa hoteli nyota tano hivyo tunaishia kuziita most luxury lodges. Kwa Dar hoteli inayoweza kuwa ina sifa walahu zinazokaribia nyota tano ni Sea Cliff kwa ninavyoona mimi.View attachment 2536438View attachment 2536439View attachment 2536440View attachment 2536441View attachment 2536442View attachment 2536443View attachment 2536444View attachment 2536445