Usishangae ikaangukia huko linapokuja suala la ku-classify hoteli hatuangalii majina makubwa bali ni vigezo tu usipokidhi unabwagwa, japo najua kuwa Hyatt Regency kwa level yake ni 4 star kulingana na level ya huduma, mandhari,facilities, amenities na group la visitors wake uangukia kwenye kundi la spendors au vacationers.
Kundi la mwisho la nyota yaani nyota 5 nilikwambia ni dogo mno lakini ukuniamini, kundi hili la hoteli udili na matajiri na watu maarufu tu kwa wingi mfano mdogo ni lodge mbili pale Serengeti NP moja inaitwa Bilila Kempinski na Singita Sasakwa lodge(only VIP's) hapa watu wote maarufu unaowafahamu wakivisit attractions au wakija mapumziko Serengeti ufikia hapa.
Lakini hazipewi nyota tano kwa kuwa lodge kulingana na location zake haziwezi kukidhi vitu vingi vinavyoitajika kuipa hoteli nyota tano hivyo tunaishia kuziita most luxury lodges. Kwa Dar hoteli inayoweza kuwa ina sifa walahu zinazokaribia nyota tano ni Sea Cliff kwa ninavyoona mimi.
View attachment 2536438View attachment 2536439View attachment 2536440View attachment 2536441View attachment 2536442View attachment 2536443View attachment 2536444View attachment 2536445