Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #3,161
Kama haina unafikiri wanakunywa tope?Dodoma ina maji?
Mtu unakuja Dodoma unaingia garama za kununua maji ya uhai uoge ili ngozi isifubae.Mnawezaje kwanza kuishi kwa kutumia yale maji? Pigeni magoti kwa Mama muombe awakumbuke na mradi wa maji ya ziwa Victoria uwafikie.Kama haina unafikiri wanakunywa tope?
Mwanza tunajiweza na tunajisimamia wenyewe,tunawaachieni nyinyi msaidiwe kila kitu maana ndiyo hulka yenu.Nyie mnaojiweza pasipo serikali mbona kila siku mnalia-lia hapa kuwa mmetoswa na serikali kumbe ni wivu tu kwa Dodoma, tukija ground vingi tu mmefanyiwa na bado mnafanyiwa na hiyo hiyo serikali ndo vinavyowafanya mringe humu.
Mtu unakuja Dodoma unaingia garama za kununua maji ya uhai uoge ili ngozi isifubae.Mnawezaje kwanza kuishi kwa kutumia yale maji? Pigeni magoti kwa Mama muombe awakumbuke na mradi wa maji ya ziwa Victoria uwafikie.
Duh wazee wa Nzengo, jiji lenye lifestyle ya kijijini ukweli kuishi Mwanza ni taabu sana, kila unayekutana nae barabarani anakuongelesha kisukuma.Mwanza tunajiweza na tunajisimamia wenyewe,tunawaachieni nyinyi msaidiwe kila kitu maana ndiyo hulka yenu.
Mambele ikimaanisha mbele ya mibuyu na michongoma.Mitaa kama ya mambele tu yaani..
Hiki kichwa huwezi kufananisha na hilo sufuria lako lililoko kichwani.We nae kitombi dishi linayumba wakati mwingine kwani miradi ni ya taifa au ya magufuli?
Si bora wanaokuongelesha kisukuma kuliko kukutana na kina matonya, mlibobea kwenye fani ya kuomba omba, watani mmejengewa mji walau sasa mtulie .Duh wazee wa Nzengo, jiji lenye lifestyle ya kijijini ukweli kuishi Mwanza ni taabu sana, kila unayekutana nae barabarani anakuongelesha kisukuma.
Wacha tulale bila boxer huku de libolo likiwa wazi likimsubiri dada dodoma.Mkishazidiwa mnadhani ndiyo njia pekee ya kumtoa kamanda relini, kwa taarifa yenu kichapo cha mbwa koko bado kipo palepale wana ng'wanza lasivyo mkubali kulala bila pichu mbele ya Dodoma
Acha tutunze mila, desturi na tamaduni zetu.Duh wazee wa Nzengo, jiji lenye lifestyle ya kijijini ukweli kuishi Mwanza ni taabu sana, kila unayekutana nae barabarani anakuongelesha kisukuma.
Na nyumba wanajengewa kila mwananchi wa Dodoma, tuwape hongera wakina matonya kwa kuchangamkia fursaMwanza tunajiweza na tunajisimamia wenyewe,tunawaachieni nyinyi msaidiwe kila kitu maana ndiyo hulka yenu.
Hiyo project sio ya leo wala kesho mtasubiri sana.Kazi ya kupiga magoti ni ya kwenu nyie mnaoabudu usukuma, sisi ni wateule vitakuja tu vyenyewe isitoshe jiji la kisasa haliwezi kukamilika pasipo huduma ya muhimu kama hiyo kwahiyo tuliza mtori project ya maji ya ziwa Victoria to Dodoma bado ipo palepale au unahisi Dodoma pia ni zizi la dagaa.
Tumewaambia dodoma na Arusha combine tunawalaza ulimi nje haujaelewa Nini kwaniMkishazidiwa mnadhani ndiyo njia pekee ya kumtoa kamanda relini, kwa taarifa yenu kichapo cha mbwa koko bado kipo palepale wana ng'wanza lasivyo mkubali kulala bila pichu mbele ya Dodoma
Arusha bangi na mirungi vs dodoma uleviUnajua kwa siku taifa linaingiza sh.ngapi kutokana na mauzo ya pombe?
Wagogo ni watani zetu namba Moja Tz, tunahangaika nao humu ni vibaka wa dodoma wamealikana na wavuta bangi wa Arusha. Ndo ujue mwanza siyo ndogo.Huyo ni wa kumwacha tu,anatokwaga povu wakati ni JPM ndiyo kawasitiri wagogo wote,pengine sasa hivi wataacha na tabia yao ya kuzurura mikoani kuwa Matonya wa Taifa
Arusha wanakunywa matope huoni meno Yao yalivyooza, tumia akili basi usiandike kuufurahisha moyo wako, hata wenyewe Arusha wanakushangaa kuwasemelea uongo hawatapata miradi ya maana.Maji mliyonayo lita zake ni pungufu na hayatoshi kusambazwa kwenye mitaa yote ya kijiji cha Mwanza, wakazi walio wengi hawana huduma ya maji kuanzia milimani mpaka majarubani maji bado ni anasa bora na Arusha mradi wao uko kwenye matekelezo nyie ndio kwanza serikali inawaza namna ya kuwasaidia msiendelee kuteka maji ziwani.
Kwani dodoma basi ni Jiji au mnahangaika na machokoraa, ishindwe Moshi na Iringa kuwa Jiji, iwe dodoma??. Wanavimba kwa favour za kisiasa si uendawazimu huo.Ndiyo dalili za kushindwa na hoja hizo.Bado unataka kupewa somo la the best wine au bado unang'ang'ana na ushamba wako wa Wines za Fiorenzo
Wanakunywa vumbi daily, TRACHOMA ndo usiseme kabisaHivi Dodoma ina maji kweli?
Wenzao Arusha favour za kiasiasa maana HQ ya upuuzi fulani Arusha, wanaume kazi kujipendekeza kubeba mizigo ya wazungu na kulima maua ***** tunajadili watu wavivu nambari Moja kwenye taifa hili.Unaona sasa mgogo ushapanic hadi unawaita viongozi wa Nchi kuwa wajinga. Sasa tulia kwanza kunywa maji upunguze hasira,mji mtajengewa kwakuwa nyinyi ni matonya wa Taifa,hamjiwezi kwa lolote mpaka msaidiwe na Serikali.
Katawaze Mzee unatuhaibia hali ya hewa. Hatuna shida ya maji sisi na wewe si msemaji Bali ni mbeba chuki, Kuna siku zitakuua endekeza huo ujinga sasa.Kwanini ushindane kwenye hilo na Dodoma ambayo ipo KM nyingi mno toka kwenye chanzo kikuu cha maji ambacho nyie mko nacho katika umbali wa zero KM uoni huu ni udhaifu mkubwa kwa zizi la Mwanza?