Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Chuo kipi...manake Dodoma kuna vyuo vingi Udom,St Johns ,CBE,Mipango,Hombolo,Capital n.k kwenye eneo la higher learning institutions Mwanza haifiki hata robo ya Dom πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aseee endelea kubaki hivyo hivyo.
 
Unaambiwa linganisha uzuri wa majengo kati ya BOT dodoma na BOT mwanza, mbona ngonjera nyingi.
 
Vibanda vingi mno
 
niache kulinganisha yalipo makao makuu ya BOT nilinganishe majengo ya regional offices...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichakaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hiyo haiondoi kuwa hayo ni Mapori huku Nala kote Vichaka tu wadanganye ambao hawajaishi Dodoma
 
yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichakaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwan Makongo sio vichaka ni nn? Majengo au?
 
Leta jengo .acha kuropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…