Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Haya tumewakubalia Dodoma ni jiji la pili kwa mpangilio ufuatao
1. Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4. Mbeya
5.Tanga
6.Moshi
7.Iringa
8.Mwanza haifai kuwa ata manispaa.🙏🙏
 
Hizi battle naona zinakuwa sio battle ten bali ni chuki kubwa ambazo zitasababisha mvurugiko wa amani ya nchi inafikia mtu anaanzisha thread kuwa bandari ya Mwanza na Dar ni hasara ni bora sgr ingeanzia Tanga, moshi, arusha adi Musoma, hakika tulipofikia sio kabisaa.
 
Hizi ni chuki mkuu na wanaoanzisha ni wale wale
 
Kwahiyo utaki watu wawe na mtizamo tofauti na wako?
Lolote lile linawezekana katika jamii ya wasomi na watu tunaoheshimu uhuru wa kujieleza tunachokizingatia ni jinsi muhusika alivyojenga hoja na uwezekano wa nadharia yake kuwa na mashiko kiuchumi au kijamii pamoja na kuweza kuthibitishika au kutekelezeka katika uhalisia.
 
Haya tumewakubalia Dodoma ni jiji la pili kwa mpangilio ufuatao
1. Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4. Mbeya
5.Tanga
6.Moshi
7.Iringa
8.Mwanza haifai kuwa ata manispaa.[emoji120][emoji120]

Hatutaki mkubali kinyonge hivi wanamwanza tunataka tuendelee kuwapa kichapo mpaka mwisho mje msujudu wenyewe kwa adabu tuwasamehe msife kwa pressure pale Dodoma itakapokamilisha nusu ya miradi yake.
 
Yupo sahihi kwa mtazamo wake, ata wewe upo sahihi kwa mtazamo wako.
 
Hatutaki mkubali kinyonge hivi wanamwanza tunataka tuendelee kuwapa kichapo mpaka mwisho mje msujudu wenyewe kwa adabu tuwasamehe msife kwa pressure pale Dodoma itakapokamilisha nusu ya miradi yake.
Sisi hatuna hadhi ya kushindana na jiji la pili kwa ukubwa lenye kila kitu.
 
Hatutaki mkubali kinyonge hivi wanamwanza tunataka tuendelee kuwapa kichapo mpaka mwisho mje msujudu wenyewe kwa adabu tuwasamehe msife kwa pressure pale Dodoma itakapokamilisha nusu ya miradi yake.
Kwanza ata hiyo Mwanza haistahili kuwa jiji wala manispaa, mkapa aliwapendelea tu.
 
Kuna kuforce watu wakuelewe hicho ndicho hatukitaki humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…