Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unatuonyesha parking ya nn??[emoji23][emoji23]
Leta chinangali hapaSasa unatuonyesha parking ya nn??[emoji23][emoji23]
Mijitu ya usukumani ndani ndani bwana
Mitaa ya Ellys Beach Bila Shaka
Rock beach garden mkuu.Mitaa ya Ellys Beach Bila Shaka
Hii hapa.. sema nyingineView attachment 2555004View attachment 2555005View attachment 2555006Leta chinangali hapa
Picha ya kimasikini sana
Hizi ni chuki mkuu na wanaoanzisha ni wale waleHizi battle naona zinakuwa sio battle ten bali ni chuki kubwa ambazo zitasababisha mvurugiko wa amani ya nchi inafikia mtu anaanzisha thread kuwa bandari ya Mwanza na Dar ni hasara ni bora sgr ingeanzia Tanga, moshi, arusha adi Musoma, hakika tulipofikia sio kabisaa.
KabisaHizi ni chuki mkuu na wanaoanzisha ni wale wale
Hizi battle naona zinakuwa sio battle ten bali ni chuki kubwa ambazo zitasababisha mvurugiko wa amani ya nchi inafikia mtu anaanzisha thread kuwa bandari ya Mwanza na Dar ni hasara ni bora sgr ingeanzia Tanga, moshi, arusha adi Musoma, hakika tulipofikia sio kabisaa.
MajunguHizi ni chuki mkuu na wanaoanzisha ni wale wale
Haya tumewakubalia Dodoma ni jiji la pili kwa mpangilio ufuatao
1. Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4. Mbeya
5.Tanga
6.Moshi
7.Iringa
8.Mwanza haifai kuwa ata manispaa.[emoji120][emoji120]
Yupo sahihi kwa mtazamo wake, ata wewe upo sahihi kwa mtazamo wako.Kwahiyo utaki watu wawe na mtizamo tofauti na wako?
Lolote lile linawezekana katika jamii ya wasomi na watu tunaoheshimu uhuru wa kujieleza tunachokizingatia ni jinsi muhusika alivyojenga hoja na uwezekano wa nadharia yake kuwa na mashiko kiuchumi au kijamii pamoja na kuweza kuthibitishika au kutekelezeka katika uhalisia.
Sisi hatuna hadhi ya kushindana na jiji la pili kwa ukubwa lenye kila kitu.Hatutaki mkubali kinyonge hivi wanamwanza tunataka tuendelee kuwapa kichapo mpaka mwisho mje msujudu wenyewe kwa adabu tuwasamehe msife kwa pressure pale Dodoma itakapokamilisha nusu ya miradi yake.
Kwanza ata hiyo Mwanza haistahili kuwa jiji wala manispaa, mkapa aliwapendelea tu.Hatutaki mkubali kinyonge hivi wanamwanza tunataka tuendelee kuwapa kichapo mpaka mwisho mje msujudu wenyewe kwa adabu tuwasamehe msife kwa pressure pale Dodoma itakapokamilisha nusu ya miradi yake.
Hospitali ya milembe haikujengwa Bure dodoma, kulikuwa na sababu na hapa tunajionea sababu zenyewe😂😂😂.Kwanza ata hiyo Mwanza haistahili kuwa jiji wala manispaa, mkapa aliwapendelea tu.
Kuna kuforce watu wakuelewe hicho ndicho hatukitaki humu.Kwahiyo utaki watu wawe na mtizamo tofauti na wako?
Lolote lile linawezekana katika jamii ya wasomi na watu tunaoheshimu uhuru wa kujieleza tunachokizingatia ni jinsi muhusika alivyojenga hoja na uwezekano wa nadharia yake kuwa na mashiko kiuchumi au kijamii pamoja na kuweza kuthibitishika au kutekelezeka katika uhalisia.