Mnaleta picha zinazopigwa na wasiokuwa na Simu utajuaje pako poa hebu angalia palivyo halafu jiulize upo sawa kweli au ndo kushupaza shingoUHivyo vijinyumba vimepangana kama maboksi yaliyotupwa dampo πππ
Kweli watu wa shamba city wanajidhalilisha Sana ..apo ndio wanaona jiji limekuwa kumbe slams za kushato pako kama dampo vileππππ
Umechagua kaeneo kadogo kanakokufurahisha ila aerial view ni mabanda ya nguruwe matupu πππMleta picha mnazopiga na wasipokuwa na Simu utajuaje pako poa hebu angalia palivyo halafu jiulize upo sawa kweli au ndo kushupaza shingoView attachment 2557382View attachment 2557383
Pako hivyo tatizo hata kununua Simu Kali zenye uwezo mkubwa wa kupiga picha hamna.
UHivyo vijinyumba vimepangana kama maboksi yaliyotupwa dampo πππ
Kweli watu wa shamba city wanajidhalilisha Sana ..apo ndio wanaona jiji limekuwa kumbe slams za kushato pako kama dampo vileππππ
Ndo Nini na wewe sasa mwanalizombe, hunaga vitu shindanishi humu. Yaani hili ndilo lijinga kuliko watumiaji wote wa jf ππππ Huwa linatuma vitu linavyovifurahia lenyewe.Umechagua kaeneo kadogo kanakokufurahisha ila aerial view ni mabanda ya nguruwe matupu πππ
Huwezi Kuta hayo matakataka Dodoma.
Acha makasiriko ngosha ππNdo Nini na wewe sasa mwanalizombe, hunaga vitu shindanishi humu. Yaani hili ndilo lijinga kuliko watumiaji wote wa jf ππππ Huwa linatuma vitu linavyovifurahia lenyewe.
Hii picha ni nzuri mno kuliko CBD ya dodomaNje ya hako kapicha hapo ni mabanda ya nguruwe [emoji3][emoji3]
View attachment 2557346
Unishukuru Kwa kukutafutia site nyingine ya kupata picha na video [emoji2957][emoji2957]
Huwa sibishani na maneno matupu ....kama huna picha au figure u better keep quietUkitoa Dar Es Salaam hakuna mji mwingine Tanzania wenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma. Dodoma ukwame wapi kila sehemu lami tupu[emoji3][emoji3][emoji3] kuanzia katikati ya jiji hadi ndani ndani huko Nkuhungu lami hadi pembeni mwa nyumba za watu
Hii inawatesa nyie shamba city siyo sisi ..ndio maana munaangaika kupost vipicha vyenu munazidi kujidhalilisha tu em angalia mfano iyo picha apo apaeleweki wanaishi watu wa level gani, nyumba hazina mupangilio mumejazana apo karibu na ziwa ili iwe rahisi kumwaga mauchafu yenu uko ziwani.Hii inawatesa hata robo ya hii Barabara haijafika just kuanzia kemondo jengo la CCM na NCU house. Amechukulia kuanzia samaki samaki round about je angeileta yote hapa si mngepanic wazee na Bado Kuna rwegasore, Lumumba, pamba, karuta, uhuru, rufiji, mission, mitimirefu, Nyerere road, n.k
Zenye mpangilio ziko wapi ..unga limited,moshono,sinoni, nkuhungu,mailimbili au mkonze , [emoji28][emoji116]...picha ziko wapiHii inawatesa nyie shamba city siyo sisi ..ndio maana munaangaika kupost vipicha vyenu munazidi kujidhalilisha tu em angalia mfano iyo picha apo apaeleweki wanaishi watu wa level gani, nyumba hazina mupangilio mumejazana apo karibu na ziwa ili iwe rahisi kumwaga mauchafu yenu uko ziwani. Hii siyo view nzuri ya kuonesha sema kwa sababu ya ushamba wenu wa kitoto basi munaona ni bonge la city kumbe ata dodoma tu hapo pamoja na ukame ila soon tu apo mujiandae kukalishwa.[emoji3][emoji3][emoji3]
Jiji gani ilo kuna ziwa lakini maji bado ya shida? Vyoo vyenyewe hakuna, watu wanakunya ziwani.
Yumba za miti zilizokandikwa udongo ndani ya CBD, utalinganisha na mwanza bro, leta njiro hapa nikupatie saizi yake kwa mwanza Tena eneo ambao lipo km kibao kutoka town ndo ujue nyie dodoma na Arusha bado sana.Hii inawatesa nyie shamba city siyo sisi ..ndio maana munaangaika kupost vipicha vyenu munazidi kujidhalilisha tu em angalia mfano iyo picha apo apaeleweki wanaishi watu wa level gani, nyumba hazina mupangilio mumejazana apo karibu na ziwa ili iwe rahisi kumwaga mauchafu yenu uko ziwani. Hii siyo view nzuri ya kuonesha sema kwa sababu ya ushamba wenu wa kitoto basi munaona ni bonge la city kumbe ata dodoma tu hapo pamoja na ukame ila soon tu apo mujiandae kukalishwa.πππ
Jiji gani ilo kuna ziwa lakini maji bado ya shida? Vyoo vyenyewe hakuna, watu wanakunya ziwani.
Hawawezi tutawapiga za USO, waongeze na njombe kwenye hii battle Bado tutawatafuna.Zenye mpangilio ziko wapi ..unga limited,moshono,sinoni, nkuhungu,mailimbili au mkonze , [emoji28][emoji116]...picha ziko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nioneshe Banda la Nguruwe hapo π€ͺπ€ͺ kama ilivyo MwanzaDodoma tunayopigiwa kelele humu
Huyaoni hapo au ndo nyumba za kishua kwa akili yakoNioneshe Banda la Nguruwe hapo π€ͺπ€ͺ kama ilivyo Mwanza
Nionyeshe Mimi siyaoniHuyaoni hapo au ndo nyumba za kishua kwa akili yako
Nenda pale milembe Kuna miwani inakufaa kabisaNionyeshe Mimi siyaoni