Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Huwa sibishani na maneno matupu ....kama huna picha au figure u better keep quiet

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa anachekesha kweli eti anataka picha kwahyo unataka picha za barabara za lami zote zilizopo ndani ya Jiji la Dodoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚humu tunabishana kwa hoja na facts sio picha.

Nakumbuka ulisema Dodoma hakuna hoteli zenye viwango nikakutajia Morena Hotel, Dodoma Hotel, St Gaspar Hotel, Royal Village, Best Western City Hotel, African Dreams Hotel n.k ukataka pichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ukasema tena Dodoma hakuna viwanda nikakutajia Viwanda zaidi ya 20 vya wine, kiwanda cha mbolea, kiwanda cha Magodoro,kiwanda cha maji+ soft drinks dipc, kiwanda cha nyama n.k nako ukataka pichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kama kweli umeishi Dodoma Jiji utakubaliana kiulaini tu kuwa Dodoma inaizidi Mwanza kwa vipengele vingi.

Kitu pekee Mwanza inachoizidi Dodoma Jiji ni population, viwanda vya samaki pamoja na biashara ya madini basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna hotel hapo na wewe mbona umeng'ang'ania kusema hotel.
 
Waambie Dom is untouchable
 
NiMekaa dodoma miaka 3 ..2018 Hadi 2021, mitaa ya miyuji ,na mnada wa zamani, naijua Dom vizuri sana hizo unazosema hotel ni uchwara, at least Ile hotel iliyojengwa hapo kisasa ,na hii ya morena. Labda kama hii ya jiji ikipata mwekezaji, zingine zote ni takataka na uchafu.

Viwanja vya maana dodoma ni vya kuhesabu ilikuwepo pestana ambayo ilikuwa inategemea wanafunzi wa chuo, corona ilivokuja ikapita nayo baada ya wanafunzi kufunga vyuo, royal village nayo ipo inasua sua, bambalaga nayo hamna kitu.

Kuhusu lami leta picha tuone hizo lami classic mbona sisi tunakupa zetu ...[emoji28][emoji28]
 
Kuna mtu alinikatalia eti siijui Dodoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona asee ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…