Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Haya ndio majengo ya chuo?Dom ni level za Kimataifa sio hizo takataka za Mwanza.
Wewe unaonaje?Haya ndio majengo ya chuo?
Tena cha 17B?
Duh
Huna hoja unajaribu kujifariji tuu.Wewe mbona kila siku unapost mji wa kiserikali na vile vipagale vya TBA
What is a CBD?Elewa thread inasemaje 😀😀😀 tunashindanisha Dodoma CBD vs Mwanza CBD sio Mkoa wa Dodoma vs Mkoa wa Mwanza.Kubaliana na matokeo tu😂😂😂
Wanatokota sana aisee.Jamaa wanajitoa ufahamu tu hawataki kukubali matokeo.....hivi kuna Jiji apa East Africa lililopimwa na kupangiliwa miundombinu+ master plan kama Dodoma 😀😀😀
CBD nikifupi cha neno,centro busness district,yaan eneo la katikat ya mji.Ī
What is a CBD?
Vizuri sana, katikati ya mji wa Dodoma ni wapi?CBD nikifupi cha neno,centro busness district,yaan eneo la katikat ya mji.
Wakati unaendelea kujiliwaza hapa na mazalia ya mbu kaokoe mwenzio huko taburukuru-sengerema wanafunzi na wanakijiji wanaliwa makalio na fisi pamoja na mamba.
Naona content is end kwenye kabati lako ...Wakati unaendelea kujiliwaza hapa na mazalia ya mbu kaokoe mwenzio huko taburukuru-sengerema wanafunzi na wanakijiji wanaliwa makalio na fisi pamoja na mamba.
Dah umenikumbusha ..block 2 Kwa professor masanyiwa [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Kumbe na wewe ni zao la mipango?Dah umenikumbusha ..block 2 Kwa professor masanyiwa [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Undergraduate nimepiga hapo ....mitaa hiyo NiMekaa sana , mavumbi na upepo mkavu ulifanya ngozi yangu ikose afya ...aisee dodoma sio mji ..Kumbe na wewe ni zao la mipango?
Naona semi arid na majengo ya chuo TU ...hamna maeneo mengine mazuri..[emoji23][emoji28][emoji28][emoji75][emoji75]
Shukuru Dodoma imekufanya ufute ujinga lasivyo hivi sasa ungekuwa huko mwanhunzi unachunga ng'ombe maana Mwanza na elimu havijawahi patana, btw kama ulisoma mipango kwanini unapoishi panakaa zizi la mbuzi?Undergraduate nimepiga hapo ....mitaa hiyo NiMekaa sana , mavumbi na upepo mkavu ulifanya ngozi yangu ikose afya ...aisee dodoma sio mji ..
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa hujui unachokiandikaShukuru Dodoma imekufanya ufute ujinga lasivyo hivi sasa ungekuwa huko mwanhunzi unachunga ng'ombe maana Mwanza na elimu havijawahi patana, btw kama ulisoma mipango kwanini unapoishi panakaa zizi la mbuzi?
😀😀😀wenyewe wanakwambia Dodoma ni Jangwa ...ila maajabu huko jangwani ndio wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama, plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa 🤣🤣🤣🤣
Jiji la Kisasa ,very nice 👍