Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wanatokota sana aisee.

Dom
Wanasema ni mbezi beach [emoji116]
IMG-20230320-WA0004.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unaendelea kujiliwaza hapa na mazalia ya mbu kaokoe mwenzio huko taburukuru-sengerema wanafunzi na wanakijiji wanaliwa makalio na fisi pamoja na mamba.
Naona content is end kwenye kabati lako ...
Kupambana na mwanza ni kujipa kisukar [emoji116]
Site Kali ...unapata breeze ya ziwa [emoji91][emoji91][emoji91]
dalali_peter_mwanzatz_322726093_867095017765520_261025449689895264_n.webp.jpg
dalali_peter_mwanzatz_323302707_5787276168032871_1935224366197783313_n.webp.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Undergraduate nimepiga hapo ....mitaa hiyo NiMekaa sana , mavumbi na upepo mkavu ulifanya ngozi yangu ikose afya ...aisee dodoma sio mji ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukuru Dodoma imekufanya ufute ujinga lasivyo hivi sasa ungekuwa huko mwanhunzi unachunga ng'ombe maana Mwanza na elimu havijawahi patana, btw kama ulisoma mipango kwanini unapoishi panakaa zizi la mbuzi?
 
We jamaa hujui unachokiandika
 
Back
Top Bottom