Sasa mwanhuzi Meatu Simiyu imefata nn hapa [emoji1]Shukuru Dodoma imekufanya ufute ujinga lasivyo hivi sasa ungekuwa huko mwanhunzi unachunga ng'ombe maana Mwanza na elimu havijawahi patana, btw kama ulisoma mipango kwanini unapoishi panakaa zizi la mbuzi?
Kama lile ndo soko la kimataifa basi safari ni ndefu [emoji846][emoji3][emoji3][emoji3]wenyewe wanakwambia Dodoma ni Jangwa ...ila maajabu huko jangwani ndio wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama, plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan kuwa na soko la kimataifa ndio kuwa wakulima ....dar Kuna soko la kimataifa la kariakoo,,je wanalima ?[emoji3][emoji3]na hiyo safari ilianza tangu enzi za JK
Kumbe unaweza kujenga soko la kimataifa la mahindi plus maghala ya National Food Reserve Agency kwenye mkoa ambao hauzalishi kwa wingi hayo mahindiπππππKwan kuwa na soko la kimataifa ndio kuwa wakulima ....dar Kuna soko la kimataifa la kariakoo,,je wanalima ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo kiteto na gairo ni mkoa wa dodoma aisee nilikuwa sijui ..Kumbe unaweza kujenga soko la kimataifa la mahindi plus maghala ya National Food Reserve Agency kwenye mkoa ambao hauzalishi kwa wingi hayo mahindi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tembelea sikumoja maeneo ya Kibaigwa,Mlali,Mkoka pamoja na maeneo yanayopakana na wilaya ya Gairo na Kiteto uone kiwango cha uzalishaji wa mahindi+nafaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππhuyu ndio anajiita msomi graduate wa IRDP....wapi nimesema Kiteto na Gairo ni mkoa wa Dodoma au hujui kusoma "maeneo yanayopakana na wilaya ....." unawaaibisha graduate wenzako wa IRDP ndiomana nilikushauri ukabishane facebook humu hupawezi ni hoja na facts tuπππKwa hyo kiteto na gairo ni mkoa wa dodoma aisee nilikuwa sijui ..
Lakini mbona NBS haiwapi credit za juu[emoji116]View attachment 2560654
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimejiita msomi ....wew unaporefer production area ya mkoa mwingine ije itetee mkoa wako ..umejitathimini brain capacity yako kweli....[emoji3][emoji3][emoji3]huyu ndio anajiita msomi graduate wa IRDP....wapi nimesema Kiteto na Gairo ni mkoa wa Dodoma au hujui kusoma "maeneo yanayopakana na wilaya ....." unawaaibisha graduate wenzako wa IRDP ndiomana nilikushauri ukabishane facebook humu hupawezi ni hoja na facts tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwanini uzungumzie mipakni bhanaπππhuyu ndio anajiita msomi graduate wa IRDP....wapi nimesema Kiteto na Gairo ni mkoa wa Dodoma au hujui kusoma "maeneo yanayopakana na wilaya ....." unawaaibisha graduate wenzako wa IRDP ndiomana nilikushauri ukabishane facebook humu hupawezi ni hoja na facts tuπππ
Huyu amnazo kakaWapi nimejiita msomi ....wew unaporefer production area ya mkoa mwingine ije itetee mkoa wako ..umejitathimini brain capacity yako kweli....
We tukienda Kwa hoja na facts hufiki safari ya Nyerere square to sabasaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo miradi ni ya serikali ipi...ππ ya nchi gani...πππBurundi au Rwanda π€£π€£π€£π€£Hawezi kukuelewa masikini Hawa wanatamba na miradi ya serikali.
Hiyo inayotekelezwa DodomaHiyo miradi ni ya serikali ipi...ππ ya nchi gani...πππBurundi au Rwanda π€£π€£π€£π€£
Inaitwa Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili Mirembe...hadhi(status) yake ni Hospitali ya Taifa kama ilivyo MuhimbiliππππHospitali ya milembe haikujengwa Bure dodoma, kulikuwa na sababu na hapa tunajionea sababu zenyeweπππ.
Ilijengwa hapo kulingana na uhitaji wa mkoa huo πππInaitwa Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili Mirembe...hadhi(status) yake ni Hospitali ya Taifa kama ilivyo Muhimbiliππππ
Inamaana katoa vibanda vyote vileHilo eneo la wazi hapo limezwa tayri kwa mdau mmoja hivi tycoon muda wowote atashusha project ya maana hapo.
Ilijengwa hapo kulingana na uhitaji wa mkoa huo πππ
I know everything about it. Kwanini iwe dodoma???. Just imaging kibong'oto ni hospitali ya Taifa ya magonjwa yanayoambukizwa kwanini ilijengwa SIHA?. sababu ni kwamba watu wengi sana mererani walikuwa wanagundulika kuwa na kifua kikuu na wengine walikufa sana kwasababu ya SILICOSIS, hivyo ililazimika kujengwa eneo Hilo karibu na watejaππππ.Mirembe National Mental Health Hospital (MNMH)
Status-Hospitali ya Taifa
sio hospitali ya mkoa,sio hospitali ya rufaa,sio hospitali ya kanda bali ni Hospitali ya Taifa ...elewa hiyo status ndiyo the highest of allπππππ
Wewe hujui kuwa alizeti haihitaji mvua, ni zao linalolimwa sehemu zenye ukame. Hivi wewe mwananjombe shule ipo kweli?Dodoma ni jangwa ππππ